Habari za leo wadau wa JF,
Poleni sana na uchovu wa wikiendi. Natafuta mtu ambaye anaweza kunisaidia kupata bata wa aina ya pekin na nina maanisha pure white pekin duck. Nahitaji wasiopungua 50...
APARTMENT Inapangishwa ipo KIGAMBONI MJI MWEMA
Umbali ni Kilometer 10 Toka Ferry ya KIVUKONI
Bei ya Pango ni Tsh Milion 1.5 za Kitanzania Kwa Mwezi au Dola 750 za Kimarekani
Malipo ni Kwa...
Biashara ya simu za mezani, unaweka line ya aina yoyote ile (vifurushi kama kawa),ina kaa na charge kwa siku 7,ina radio na pia inatuma na sms...kwa TZS100,000/-..ukiwa Dar city centre,delivery ni...
Mimi ni mfanyakazi wa serekari ni clinical officer, natafuta clinical officer au assitant ambaye tuta badilisha vituo vya kazi.mia ninafanya kazi wilaya ya singida dc. Nataka mtu wa kubadili nae...
Nauza Simu ya sumsung j5 bei 170000 ina creck kwenye kioo ila ipo vizuri aliyetayari namba zangu ni 0655634017 nimeshindwa kupiga picha Kwa kuwa ndo hii ninayotumia
+255 657 685 268 WhatsApp!
Fahamu MAKISIO na MCHANGANUO wa Kiasi cha GHARAMA Kinachohitajika KUKAMILISHA UJENZI wa Nyumba Yako Sasa kwa Bei Nafuu!
---Pata MAKISIO ya MKOPO BENKI, MCHANGANUO wa...
Ile laptop yangu mliyo shindwa bei sasa naiuza laki 1 na 90 tu nicheki WhatsApp 0766283352
Specification
HDD 100GB
RAM 2GB
Processor: Intel duo core
Window: 7ultimate
Habari wakuu,
Shamba linauzwa hekari 3 liko maeneo ya Mkuranga Kiparanganda karibu na njia kuu ya Kilwa road.
BEI 2.5M Kwa heka 1
N.B Picha sina,ni dharura kuna mtu kapata shida.Asantheni .
Naitaji dishi na decorder yake campany ya AZAM nipo mwanza hata used nachukua ili mradi iwe poa ktk shughuli zangu za kuonesha mpira bei chip
0753358283
Wadada wa mjini na vitongoji vyake,just come and share the taste of hot water in massaging!!
Ni mobile Massage popote ulipo ndani ya Dsm...Massage ya Kitaiwan na Indonesia,inayoamsha misuli ya...
Kwanza nianze kwa kuwapa pole na hongera kwa kuakikisha mipango na malengo mlionayo yanatimia yaani point of focus.
Baada ya kukaa kwa muda mrefu na kufanya utafiti wa hapa na pale nimekaa...
Banana Kitunda, Matembele ya kwanza kabla ya kuvuka Reli. 2.3kms toka Banana. 4.8kms from airport. 14.2kms toka City Centre.
Master Bedroom/Chumba cha Mgeni/Spacious Living Room/Public...
Nina mtaji wa milioni 15 pamoja na kiwanja cha 40 × 40 nahitaji mtu anijengee nyumba yeye sifa zifuatao,
Vyumba vitatu pamoja na master moja
jiko
public toilet
store
dining.
Hakikisha nyumba...