Mwamsiku
Member
- Feb 9, 2017
- 66
- 14
Kwanza nianze kwa kuwapa pole na hongera kwa kuakikisha mipango na malengo mlionayo yanatimia yaani point of focus.
Baada ya kukaa kwa muda mrefu na kufanya utafiti wa hapa na pale nimekaa nikagundua mambo mengi sana kuhusu swala la elimu nchini kwetu.
Sasa basi nikaona nije na huu mbadala mpaka sasa nimefanyia uchunguzi na kuona matokeo makubwa na kufanikiwa kwa asilimia kubwa.
Ni mpango nilioanza miaka miwili sasa imepita . Kwa wale wanaonifahamu watakua wanajua nini nazungumza.
Tumeandaa vitini ambavyo vitamfanya mwanafunzi asome kuelewa kwa uraisi na kuweza kufanya vizuri katika masomo yake.
Masomo tulio nayo upande wa advance level...
1. Pure mathematics
2. Basic mathematics
3. Physics
4. Chemistry
5. Biology
6. Geography
7. Economics
8. History
9. Kiswahili
10. English
11. Accountancy
12. General studies
Na upande wa o level masomo tulio nayo ni pamoja na
1. Mathematic
2. Physics
3. Chemistry
4. Biology
5. Geography
6. History
7. Kiswahili
8. English
9. Civics
10. Commerce
11. B/keepng
12. Computer
NB. Kila somo lina gharama yake mahali tunapopatikana tuna office zetu maeneo ya Kinondoni na Mbagali lakini waweza kuletewa material hizi mahali popote ulipo na wasambazaj wetu ...
Kwa mawasulino piga no 0767-603 688, 0712-762 050.
Muda wowote namba ziko hewan....
Your welcome