Nataka kubadilisha hii nchi 24 nichukue kubwa
Singsung nchi 24
Nakupa na stand kama zawadi
Bei ni laki mbili na 50
Haipungui kwakua sina njaa
0717184353
Hello.. Mimi ni mwanasayansi na mwanatechnolojia wa Vyakula. Napenda kuwataarifu walewote wanaoshumbuliwa na magonjwa yatokanayo na vyakula mfano.
KITAMBI,
NYAMA ZEMBE,
KWASHAKOO, UTAPIA MLO...
Habari wanajukwaa
nahitaj tray 200 za mayai ya kuku wa kisasa kesho.
kama unayo tafadhali ni pm tufanye biashara
nimepata mteja ila stock yangu haijaweza kukidhi mahitaji yake.
Nahitaj mfugaji...
Salama Wakuu
Nahitaji viti used (vya plastic/ mbao/ makochi), meza used (za plastic/ mbao) na magorodoro (Used) Arusha. Kama unayo, njoo inbox tufanye biashara.
Shukrani.
Za humu ndani?
Nina wazo la Biashara ambapo mtaji wake si chini ya milioni 10.
Wazo linahusu Biashara ya kutumia intaneti.kama kuna MTU anaweza kuwekeza naomba ani PM tuongee.au
kama MTU...
Jipatie universal 4G mifi router inasupport mitandao yote Tanzania
Inaunganisha watu au device zaidi ya 10
Inauwezo wa kukaa na charge hadi masaa 10
Ni brandnew sealed and best huawei device...
Hello karibu T444z,
Bidhaa bora kabisa katika soko leo hii..na ndio maana imekua katika nafasi ya juu sana
T444z inasaidia kukuza nywele sana...ni Bidhaa itokanayo na mimea asilia kutoka katika...
VonHaus Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered)
Bei ni Tsh. 300,000
Warranty: 1 Year
Zinatumia Umeme wa Gari (DC).
Kwenye Box kuna Jeki ya Kunyanyulia Gari pamoja na Mashine ya...
Wadau na wataalamu, nahitaji gwiji wa kutengeneza platform ya matokeo na taarifa kadhaa kwenye sheet kwa ajili ya shule. Hiyo platform iwe na vitu vifuatavyo
1. Itakayotoa matokeo ya mitihani...