Oil haina kinga imara kama dawa, kwa oil mchwa ataanza kuchimba atakuja mwingine ataendeleza, ila dawa ni ngumu kwa mchwa kuzama mpaka ndani maana mbao ya dawa unakuta dawa imeingia mpaka ndani ni ngumu mchwa kuingia zaidiNaamini ukipaka oil chafu ndio nzuri zaidi na kamwe hautoona wadudu wakiisogelea