MBISERE CROSSBREEDING
Ni Wauzaji na wasambazaji wa vifaranga na mayai, pia tunatoa huduma ya utotoleshaji wa mayai.
Tunauza vifaranga wa
Izarel
Malawi
Croiler vifaranga wa nyama
Broiler
Pia...
Wadau
Nahitaji mwamvuli mkubwa au turubai la kufunga nje ya nyumbani kwa ajili tu ya kuzuia jua au mvua ambapo watu wanaweza kukaa comfortably.Sehemu ninayokaa kuna upepo mwingi wakati mwingine
AMIS ni mfumo ambao unatumika kuhifadhi kumbukumbu za wanachuo na pia inauweza wa kupokea malipo yote yatakayofanyika tupitia Bank pamoja na mitandao ya simu.
Link ya mfumo: <img...
Nauza iPhone 7plus 128GB mpya cjaitumia toka imeletwa full equipment bei 780000 tu kama unahitaji njoo Dm
Au tuwasiliane hapa hapa kwanza tukikubaliana tutaona namna ya kufikiana
Location ...
DVR yenye screen hapo hapo pamoja na camera zake 4 pia na router zinauzwa,zimetumika muda mfupi sana.
Hii inawafaa kwa wale wanaotaka kufunga security camera nyumbani,dukani n.k.
DVR hii...
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Habari wanajukwaa..?
Nahitaji mifuko ya plastic ambayo ni transparent kwaajili ya kupackage bidhaa zangu,ni wapi naweza kupata mifuko hiyo kwa hapa Dar Es Salaam..!?
Mfano wa mifuko: