Tally ERP 9 is the most recent version of products from M/s. Tally Solutions Pvt. Ltd. This is an exceptional accounting and inventory management software that facilitates quick and effective...
Habari wanaJF,
Naomba kujuzwa kwa wale wakazi wa Jiji la Dodoma ninaweza kupata kiwanja ambacho bei yake ni chini ya Mil. 1 hata kama ni shamba?
Eneo nauli kutoka mjini isizidi 500, au kwa namna...
...Wanajamii F,nauza viti vya plastic,vyeupe viko 100pcs..kila kimoja @11,000/- tu..!
Nilivinunua kwa ajili ya kuvikodisha kwenye shughuli mbali mbali ila sasa nimehamia sehemu nyingine,ni kama...
Habari za majukumu ndugu zangu wana JF ,kama title inavyojieleza,naomba msaada wa kupata gari ya bei ndogo (used). Nahitaji usafiri wa mambo yangu ya hapa na pale. Mwenye kuweza kunisaidia...
Habari,
Husika na kichwa cha uzi hapo juu.
Mimi nipo Dar, ni mfanyabiashara mkubwa wa kusambaza maziwa aina ya Tanga fresh na Asas.
Kwa sasa nahitaji kukuza zaidi biashara yangu kwa...
Kwa sasa tunatoa huduma
za kuweka windows 8,7,starter.xp ..linux series kama Ubuntu
Tuna unlock modem
tunatoa unlimited internet kwa elfu kumi 2
piga voda 0753932250...
Wasalam wanajamvi,kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta mafuta makali kwa ajili ya kusafishia madumu yaliyokuwa yamewekwa gundu anayefahamu anijuze mahali napo weza ya nunua
Habari wanajamii forum, naitaj kupata msaada kwa mtu alie mwanza anielekeze mahali napoweza kupata samaki wabichi kwa bei nzur nataka nianze biashara hiyo nanunua na kuwakaanga arafu nauza sina...
Habari wandugu
Naomba msaada wa kujulishwa sehemu nitakayoweka kupata aina hii ya sabuni (shaza soap) kwa bei ya jumla hapa dsm , mi napatikana ubungo riverside
Nina usafir binafsi nasafir kutoka mbeya kuelekea dodoma , nahitaji watu sita wa kupiga nao story njia kwa bei rahis watakayonichangia mimi
Mbeya mpaka iringa 10000
Mbeya mpaka dom 18000...
Wadau naomba kujuzwa bei ya cement nikiinunua direct kutoka kiwandani.
Au kama kuna mfanyabiashara wa cement naomba aje PM tuongee biashara nahitaji large quantity of cement kila week.
Nashukuru...
Habari, ninatafuta kampuni inayofanya export ya nyama hasa export ya utumbo wa ng'ombe( beef omasum). Kama unafanya au unamfahamu anaefanya hiyo biashara naomba tuwasiliane. 0652601602
Wadau natumaini hamjambo
Naomba kwa anayeweza au anayefahamu hivi gharama za kusafirisha mizigo ya kifamilia toka Moshi kwenda kigoma inaweza cost tsh ngapi?? maana nategemea mwezi disemba...