baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,487
- 2,263
Ndugu wana JF,
Poleni kwa mihangaiko ya kila siku,
Kama tunavyojua vyuma vimekaza sahivi nataka nianzishe biashara nimuweke mtu asimamie nı ya kuuza dawa za binadamu.
Sasa ili na yeye asinifirisi kwa kutaka kutokea humo humo nataka nifunge camera ya CCTV na niingunishe katika simu.
Je gharama zikoje kiujumla?