Jipatie Mikopo kutoka Platinum Credit Ltd

kese

Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
39
Reaction score
19
Je! wewe ni mtumishi wa serikali na unahitaji mkopo kwa ajili ya kutimiza malengo yako?.
karibu PLATINUM CREDIT LTD Tukuhudumie.

Faida na sifa za mikopo yetu.
-Tunatoa mikopo ndani ya masaa 24.endapo mteja wetu atakua amekamilisha viambatanisho vyote vinavyohitajika.na form yake kuwekwa sahihi ya afisa mwajiri wake.
-mteja kwetu ni mfalme tunamfuata popote alipo na kumuhudumia.
-tunajali utu na heshima.
-Haina dhamana wala mdhamini....nk

kwa mawasiliano zaidi simu namba, SALES EXECUTIVE OFFICER.0658268066/0767634511.au keselemakole@yahoo.com au keselemakole@gmail.com
 
Attachments

  • images.png
    images.png
    4.8 KB · Views: 128
1. Mbona hamjaweka viwango vya riba?
2. Bado mnapatikana pale Sophia House, barabara ya posta?
 
Anguko lao liko njiani,microfinance act ipo tayari hizi taasisi zote zitakuwa chini ya mwamvuli mmoja,zitatumia process moja same interest rate,same processing fees+all terms are the same
Why ni anguko kwao?
 
Anguko lao liko njiani,microfinance act ipo tayari hizi taasisi zote zitakuwa chini ya mwamvuli mmoja,zitatumia process moja same interest rate,same processing fees+all terms are the same
Mkuu nahisi sijaelewa microfinance act ndo isababishe yote Aya?

Kwanini hili lisingelikuwa hivyo pia kwa mabank mana kila bank inariba yake Sasa hivi
 
Ujue nini kwa banks wa kulaumiwa ni BOT,mswada Ulishapita Bungeni na kupelekwa association of microfinance institute toka mwaka jana,hawa watakuwa chini ya wizara ya fedha na kusaidiana na BOT,ujue hizi zimeibuka kama njugu na lengo si kusaidia wananchi ila kujinufaisha wao hivyo kusababisha majanga mengi kwa jamii ,na wengi product zao zinafanana na riba kubwa sana
Mkuu nahisi sijaelewa microfinance act ndo isababishe yote Aya?

Kwanini hili lisingelikuwa hivyo pia kwa mabank mana kila bank inariba yake Sasa hivi
 
Nyie
Je! wewe ni mtumishi wa serikali na unahitaji mkopo kwa ajili ya kutimiza malengo yako?.
karibu PLATINUM CREDIT LTD Tukuhudumie.

Faida na sifa za mikopo yetu.
-Tunatoa mikopo ndani ya masaa 24.endapo mteja wetu atakua amekamilisha viambatanisho vyote vinavyohitajika.na form yake kuwekwa sahihi ya afisa mwajiri wake.
-mteja kwetu ni mfalme tunamfuata popote alipo na kumuhudumia.
-tunajali utu na heshima.
-Haina dhamana wala mdhamini....nk

kwa mawasiliano zaidi simu namba, SALES EXECUTIVE OFFICER.0658268066/0767634511.au keselemakole@yahoo.com au keselemakole@gmail.com
Nyie na Heritage Finance Limited ya hapa arusha ni wale wale watoa riba kubwa na wauzaji wa nyumba za watu.
 
Tupe:-

1. Kiwango cha Riba kwa Mwaka / Mwezi (Annual / Mothly Interest Rates)

2. Kanuni ya ukokotozi wa marejesho kama ni:- Flat Rate/Straightening Balance (AU)Reducing Balance Method
 
Lakini kaka hawa unawaonea kaka hawa unadhaminiwa na mshahara mtumishi wa uma,yaani wao wanakata kule kwa afisa utumishi kuna kasystem kao hawashiki wala kukamata wala kuuza mali
Nyie

Nyie na Heritage Finance Limited ya hapa arusha ni wale wale watoa riba kubwa na wauzaji wa nyumba za watu.
 
Riba ni 7.5/month chukua miezi 6 uone inarudi ngapi, hili naweza thibitisha. Bora ukose hela kuliko kukopa kwa hawa mbweha
 
Aisee naunga mkono hoja...hawa jamaa ni majizi kupindukia halafu wazi wazi ....mm nimhanga wa hawa mandezi..nasema walai sitaki hata kuwasikia..
 
kama hauna emergency sana, mikopo ni SUMU KALI YA MAENDELEO.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Similar Discussions

Back
Top Bottom