Hi wana JF, ninayo laini ya TTCL niliyoisajili kwa jina langu na niliwahi tunza muda wa maongezi mwingi sana zaidi ya shilingi milioni moja. Nimeamua kuuza laini ya simu ikiwa na muda wake wa maongezi au kumuuzia mtu muda wa maongezi kwa bei ya jumla kadri atakavyotaka. Nauza kwa punguzo la asilimia 15%. Ukinunua muda wa laki 1 nitakuuzia kwa elfu 85.
Watu serious tuwasiliane kwa namba 0625 616851.
Watu serious tuwasiliane kwa namba 0625 616851.