Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza iphone 6s (16gb) mpya imetumika 2 months ina kila kitu, charge na earphone original, chek me for serious buyer 0762243055
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunapouanza msimu wa Mbaazi. Naomba wadau wote wa zao hili kwenye upande wa kuuza locally na exportation. Tujadili kwa pamoja kuhusu masoko, bei, upatikanaji, Packaging, procedures za kuexport...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
*BRAND NEW 5D GLASS PROTECTOR IN TOWN* Jipatie sasa glass protector bora za samsung kwa bei nafuu sana Kwasasa mzigo unapatikana DAR ES SALAAM, kwa shilingi 10000tu. Call 0753063142...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Specifications zake Display5.00-inch. Processor1.2GHz quad-core. Resolution480x800 pixels. RAM1GB. OSAndroid 4.4. Storage8GB. Bei Tsh 100,000... Contact 0788 607493
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Bado natafuta Dumbbell, napatikana Dar. Mwenye nazo tafadhali ani pm.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kuna mutu anaweza kujua soko la Hela za FUFTH MARK,QUEEN ELIZABETH SH5 YENYE TOBO KATIKATI,RUPIA
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Dawa mpya ya UKIMWI hii hapa[emoji116]
0 Reactions
5 Replies
4K Views
mashati makali na tshirt zinauzwa kwa bei rahisi mnoo,jumla elf8 na rejareja ni elf10 store ipo temeke-buza kuletewa kuanzia pic 20 wamikoani wanatumiwa,mawasiliano 0656730433.karibuni
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Maxcom Africa no kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa machine za kielektroniki zinazomwezesha wakala kutoa huduma kwa haraka kupitia machine hizo. Huduma hizo no kama ifuatavyo; 1. Huduma ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau mm Niko tabora na nina gunia kama 15 za viazi vitamu safi kabisa,natafuta mwenye uhitaji.popote ulipo kama dodoma, dar nitakuletea chamsing bei tukubaliane.nitafurahi kama nitapata mrehesho...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza powerbank orgn kabisa kwa elfu 60 tu ,haipungui hata kidogo . Njoo PM na pesa Cash . Au Nicheki Whatssap Kwa Namba Hii 0758502213 . Inachaji Simu Mara Tatu Nishafanyia majaribio wakati...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwenye samsung galaxy j7 prime na anaweza kuuza aje inbox au aweke hapa tufanye Biashara
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Guys! Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nauza line za uwakala za Tigo na Airtel. If you interested call me: 0713813554 Thanks.
0 Reactions
9 Replies
887 Views
Kiwanja kipo dodoma mjini karibu na makazi ya waziri mkuu,kipo barabarani na kina document zote na hati. Price: 22mil contact 0714664361
0 Reactions
2 Replies
724 Views
Natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili, moja ya chumba kiwe master, choo cha public, jiko seble, paving blocks, alminium window n.k Ofa nnatoa laki mbili mpaka mbili unusu...Nahitaji...
1 Reactions
6 Replies
839 Views
Jipatie mafundi expert Na wabunifu katika kazi ya rangi wana uwezo wa kuiba dilisha nyumba yako kua mpya Na yenye mvuto. Kwa Maelezo zaid piga Au watsap 0757020067.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Greetings wakuu, Ni maeneo gan kwa Dar ambap nawez pat gunia za mahindi kuanzia 500 or zaid.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rejea somo Natafuta shamba kwa ajli ya kilimo cha mpunga Liwe wilaya ya kakonko,chato au kibondo Liwe karibu na chanzo cha maji cha uwakika maana nataka lima misimu 2 Ekari 100 au zaidi Waweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
4gb-55,000/= 2gb-35,000/= Contact 0716683434 Dar es salaam
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Sabufa mpyaa zina Bluetooth radio, aux input, sehem ya flash na memory card. Mdundo wa maana
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…