Maxcom Afriaça PLC

Maxcom Afriaça PLC

Benedicto mkono

New Member
Joined
May 10, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Maxcom Africa no kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa machine za kielektroniki zinazomwezesha wakala kutoa huduma kwa haraka kupitia machine hizo. Huduma hizo no kama ifuatavyo;

1. Huduma ya luku
2. Ving'amuzi vyote
3.vocha za mitandao yote na bundles
4. Malipo ya usafiri ikiwemo mwendo kasi na huduma za ukataj tikek za ndege(precision air)
5. Mifuko ya jamii ikiwemo ; LAPF, NSSF,
6.Sumatra
7. Malipo ya maji (DAWASCO)
8.Huduma za kibenki zikiwemo; CRDB,NMB,ABC,DCB

Office zetu zipo Dar es salaam , Makumbusho millennium towers

Karibuni sana maxmalipo
Kwamawasiliano

* 0672 668 675
* 0763 558 340
IMG_20180308_111857.jpg
 
TTCL na E Government wana copy na ku paste kazi zenu then wanapewa tender Poleni sana
 
Hizo machine zenu ni kimeo sahv.

Kamishen zenu mmepunguza mno kwenye luku n.k

Haiwezekani eti niuze luku ya "Laki moja",
halafu nipewe faida ya "jero"

Hapi sijatoa matumizi kununua roller za karatasi, Ambazo kwa sasa zimepanda Bei Mara dufu.

Ilifika mpaka tunagoma kuuza umeme wa elfu 2 kushuka chini
Kwa kukwepa gharama za karatasi.

Matokeo yake,
BIASHARA haiendi mpaka uwategemee watumiaji wakubwa wa kununua luku ya elfu 100+

Maana ukifikiria uuze umeme wa buku, Buku mbili kwa vikaratasi,

Yaan mpaka ile roller inaisha Ni bonge LA hasara tayar umetengeneza.

HONESTLY WA SASA,
BIASHARA YA KUFANYA KWA KAMPUNI ZENU NI PASUA KICHWA.

SERIKALI HAIWAPEMDI, MNAWINDWA KILA KONA,

JUZ JUZ tu,
NMESKIA MMEONDOLEWA KWENYE MWENDO KASI.

Kabla ya hapo,
Mmepunguziwa kamisheni kwenye luku mpaka 0.5 per transaction.

Huku, mh. Akisema NYIE mlikua WAPIGA DILI.

WORSE ENOUGH;
Kwenye luku hamjatuomba radhi wala kutoa ufafanuz kwa wateja wenu, mmekaa kimya tu.

Mkituona kama "Malofa hivi"

Customer care simu zikipigwa, hampokei

YAAN NMECHOKA NMECHOKA.

Cha msingi,
Nmeamua tu kufanya maamuz,

mASHINE ZENU ZOTE mbili NAWARUDISHIA.

Moja nishauza, ya pili iko sokoni.

Ova
 
kamishen za mawakala zimepunguzwa sana unawekeza laki 7 kwa kupata elfu 2 kwa umeme wa laki 2?!
 
hizi biashara za maxmalipo, selcom sasaivi nikama unajitolea kuhudumia jamii maana hazina faida yoyote kama mwanzo
 
Back
Top Bottom