Pata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataamu waliobobea katika taaluma hii.
Huduma zetu ni.
Kuuza chakula cha samaki ambacho kinalishwa kwa kuanzia kifaranga mpaka samaki wa kuvuna.
Ushauri jinsi...
Habari waungwana,
Mimi na Ndugu yangu ( Binamu) Tunatarajia Kuvuna Tani 3 za Tangawizi mkoani Tanga Wilayani Lushoto,
Change Direction, Tupeane bei ulipo twende sawa.
Dar masoko yetu...
Nauza printer zangu aina ya Epson Inkjet,
Kwa ajili ya matumizi ya stationery na ofisini.
Moja ni L220 na ingine ni L382.
Zinafanya kazi zote;
Printing, Copying, Scanning (Black & Colored)...
Ni 1km kutoka new morogoro road,
Maji na umeme vipo karibu!
Nyumba ina vyumba vinne, sebule, jiko, choo bafu, stoo
Kiwanja ni mita 42*31
Bei mil 60
Mawasiliano 0712 584524
Kwa wale walioko mikoa ya dodoma na singida, ninahitaji alizeti gunia 500 za alizeti. yeyote anayeuza aje inbox nitampa mawasilino tufanye mazungumzo. sio lazima uwe umeshavuna hata kama bado...
Kwa wahitaji wa Huduma ya mtandao wa FFARS na TRA katika shughuli za kifedha kwa SHULE za msingi na sekondari,tunaweza kuwasiliana kwa namba 0620191802 kwa Huduma ya kimtandao muda wote.
Usikwame...
Hi wana JF,
Nina kiwanja changu kipo maeneo ya Kigamboni sehemu iitwayo Mwasonga, kituo cha daladala kinaitwa Mwembe mdogo karibu kabisa na ulipo mradi wa NSSF wa ECO house.
Viwanja ni viwili...
] radio ya sony pamoja na meza yake 900,000/=
Kitanda na godoro lake 700,000/=
Dressing table 200,000/=
Air conditioner 450,000/=
Kabati la nguo 250,000/=
Kabati la vyombo 350,000/=
Sofa set full...
Gari nissan tiida inauzwa
Bei 4,500,000/-
Inahitaji service,kuweka Engine oil,Gear box oil,kubadilisha filter
Gharama ya fundi kwa service zote unakabidhiwa gari ni 500,000/-
picha check...
Intel celeron N2840 2.16ghz
4gb ram DDR 3
500GB HDD
1.5gb graphics
5hrs battery
Problem touchpad ina wenge
Inatumia zaidi mouse ya nje
Ila ni nzima kila idala na inafanya kazi vizuri
Bei...