Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam JF, Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojinadi. Nahitaji sofa used lililo katika hali nzuri la kukaa watu wawili kwa maeneo ya Dsm, Lisiwe na kunguni Offer yangu elfu 50 tu, kama unalo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi JF Members, Nauza kiwanja changu kilichopo Kigamboni. Kiwanja kipo sehemu iitwayo Mwasonga, karibu na kituo cha daladala cha mwembe mdogo, jirani kabisa na ulipo mradi wa NSSF wa ECO Houses...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau natafuta soko la choroko na dengu kwa kilo
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nina choroko ziko shinyanga,kama kuna mnunuzi tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye kujuwa soko la choroko zinanunuliwa bei gani na wapi wananunua maana huku mtwara hali si shwari
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Shamba ni pori halijawahi kufyekwa, lipo bagamoyo, msata road kiwangwa kijiji cha Mwetemo. Shamba lina hati na pia lina ukubwa Wa ekari 24 na bei yake ni Tsh 12,000,0000. MAELEWANO YAPO. Kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Bei ni 200000/ Kwa anaye hitaji Piga sim 0715591141....dar Ova
0 Reactions
1 Replies
2K Views
inahitajika , TV card. Nitafute kwa 0715098873
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Kwa yeyote mwenye kuhitaji vitu tajwa hapo vinauzwa; 1. TV Lg inch 32 Led - ilikuwa haitumiki tangu iliponunuliwa bei 450,000 Tsh 2. Friji ndogo Elekta- Imetumika kidogo bei 300,000 Tsh 3. Home...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Njoo inbox tumalize biashara
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Ninahitaji simu, htc disire 320: Bjeti nina laki 1
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Wanajamvi, Kwa yeyote anayeuza USB Headset yenye microphone kwa bei ambayo ni affordable. Tafadhali, naomba tuwasiliane
1 Reactions
1 Replies
530 Views
Mkurugenzi wa kampuni ya E.G.C. Honolulu Promotion and General Business,ndugu Gilson Nchangu,anatoa tahadhari kwa wananchi na jamii zima ya watanzania kuwa ,mashindano hayo yanamilikiwa na kampuni...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Wana jamvi salama, natafuta mayai ya kwale, kwa mtu aliyeko Dar tafadhali tuwasiliane kwa namba hii ya simu 0752747312
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiwanja kilicho kwenye process za kupimwa,malipo ya awali tayari yamefanyika,kina ukubwa wa square metres 592,kipo mbezi msumi C....TZS 14M maongezi yapo...kina miembe 6...na ni tambalale,kipo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau, Nina shida ya chumba cha kupanga. Kiwe maeneo ya kinondoni mpaka magomeni dar es salaam. Kiwe karibu na main road (kawawa road) Kiwe na umeme, maji na gypsum, Sitaki nyumba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama uko Dar please, natafuta vifaranga vya samaki aina ya Sato. Itakuwa vyema zaidi kama utanifikishia nilipo. Nipo Bahari Beach, Dar es Salaam.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Habari, Printer ainaya inkjet canon iP2700 bei sh. 150,000 na ina print colour na black. Nitafute, 0758308193
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mahitaji simu iliyotumika aina ya tecno smartphone k7/r7/j7 Nina laki moja Ila iwe Na specifications hizi 4G Quad core 2 simcard 2camera N.k
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wana JF Wale wakazi wa Zanzibar Unguja Pemba nk...ambao wapo JF naomba kupata habar za soko la kuku wa kienyeji Nikiwa katika matembezi yangu katika mkoa wa Tanga nimeona kuku wengi...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…