Natafuta chumba cha kupanga

Natafuta chumba cha kupanga

mzeesam

Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
95
Reaction score
74
Habari za jioni wadau,
Nina shida ya chumba cha kupanga.
Kiwe maeneo ya kinondoni mpaka magomeni dar es salaam.
Kiwe karibu na main road (kawawa road)
Kiwe na umeme, maji na gypsum,
Sitaki nyumba yenye makelele sanaaaa
Bajeti yangu ni 50,000 kwa mwezi.

Ahsanteni [emoji53]
 
Mngh! huyo bei na aina ya chumba unachotaka labda kisiwe self
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom