Natafuta Vifaranga vya Samaki

Natafuta Vifaranga vya Samaki

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,930
Reaction score
4,409
Kama uko Dar please, natafuta vifaranga vya samaki aina ya Sato. Itakuwa vyema zaidi kama utanifikishia nilipo.

Nipo Bahari Beach, Dar es Salaam.
 
Kuna jamaa yuko mlandizi nakuletea link hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom