Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jipatie mabati kwa bei ya kiwanda Tuna aina zote za mabati karibu ujionee tofauti kwa bei za kiwandani Migongo midogo za rangi 28gauge 9000/m,30gauge 8000/m Migongo mipana 28gauge 9500/m,30gauge...
2 Reactions
21 Replies
19K Views
Tunatoa huduma za Chakula, Mapambo, Keki, Mc na Muziki ,viti vya kisasa na cover zake pamoja na meza, maturubai kwenye sherehe mbalimbali, harusi,sendoff, kitchen party, kipaimara, ubarikio...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
habari wadau.. kwa wale wote mnaokosa muda wa kufua nguo zenu karibuni mtuunge mkono.. tunafua nguo chafu za aina zote,.. nguo chafu zinafuliwa kwa mfumo wa kufatwa na kuletwa workshop...
8 Reactions
43 Replies
7K Views
ila nahitaji vile locally made kwa hapa Dar naweza pata wapi?au kama unafahamu watu wanaofanya hii nisaidie,nahitaji viti sio chini ya 250.,offer yangu ni 35,000/= kwa kiti kimoja. Viti...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnijulishe mahala ninapoweza kununua kwa bei nzuri projector kwa ajili ya kuonyeshea mpira. Pia naomba ushauri kwa wale wenye uzoefu, ni Projector gani nzuri kwa picha pamoja na bei...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu. Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa mwenye uelewa na kampuni ya magari yenye link (www.goo-net-exchange.com) juu ya uaminifu wao.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau natafuta pikipiki used aina ya Tvs, cc150 au 125, ila napenda zaidi 150cc. Iwe kwenye hali nzuri sana na iwe haijawahi kufunguliwa engine.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wadau Ningependa kufahamu kwa waliopo mwanza Bei ya gunia la mahindi ni Tshs ngapi? Kuna ndugu yangu ana tani kadhaa anataka kuleta sokoni
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauza models 2 za earphone za Xiaomi. 1. Mi in-earphone Basic Tsh 20,000 Sealed. 2. Mi Hybrid in-earphone Pro Tsh 50,000 sealed. Both with Mic. Ya majaribio ipo Moja Basic ndio ninayotumia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mashine kwa ajiri ya vifurushi,umeme,dawasco,dstv inauzwa bei 300,000/-maongezi yapo.....muuzaji anapatikana kwa 0714260266
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi jamii forum ninahitaji kuku wakienyeji.. Idadi kumi hivi itapendeza.. Mahali napatikana moshi Size ya kati sana sana mitetea Nifahamishe nikufuate leo hii 0622440179 Tsapp...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Visit: YNS.apg-ea.com Call: 0736 937 937 We are offering short courses and workshops in Fashion Design, led by Yvonne Njau. Yvonne is a Tanzanian Fashion Designer studying in IFA Paris, France...
0 Reactions
1 Replies
451 Views
kwa wale wanaohitaji kuandikiwa memorandums za kufungulia kampuni na assitance yoyote kwenye kufungua kampuni,Kutengeneza Companies' Profile, Companies' Objectives n.k kwa gharama nafuu kabisa We...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Ofa ofa Ofa ofa Ofa ofa Ngomemachine wanakuletea toleo jipya la mashine ya kupukuchua mahindi kwa jina inaitwa kungula Inapukuchua mahindi Tani 2.5 ndani ya saa moja. hivyo ukipukuchua kwa masaa...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Ukihitaji chochote wasiliana nasi 0658184797 / 0752 184797 au follow @bongodeco @bongodeco karibu ofisini kwetu Magomen mapipa mtaa wa idrisa upo upande wa kushoto kama unatoka kariakoo au...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jipatie mashine mpya na bora zenye kiwango cha juu za mazoezi kutoka kwetu [emoji769]️ Everything you need !! Computer touch screen treadmill inayopokea Wireless, Unaweza kuangalia kitu chochote...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu salama.. Natafuta soko la mihogo,shamba lipo mkuranga kimanzichana,heka 11. Karibuni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Kwa yoyoye anayeweza kushea (infuluencers wa instagram) ninaoweza kuwatumia katika advertising/marketing opportunities. Nina kibishara changu nataka kukitangaza kwa kutumia watu wenye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…