Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau...ninauza tank jipyaaa..halijatumika hata siku moja...lita 3000...la brand ya Kiboko...nimefunga na koki...nililinunua dec 2016..bei dukani ni 440,000 mpaka 470,000...mim naliuza kwa laki...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nahitaji used projector ya kununua. Elezea bei na specifications zake alafu nitajua kama inanifaa. Niko dsm
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Samsung 65" Smart 4K UHD Curved TV Model: 65KU7350 Video Picture Engine: UHD Up-Scaling Motion Rate: 100 PQI (Picture Quality Index): 1,400 HDR (High Dynamic Range): HDR Premium Dynamic...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba kufahamu wapi nitapata vifaa kwaajili ya kufungua Bakery. Ni sehemu gani Dar es laam naweza kununua vifaa vyote kwajili ya kufungua bakery? Pleasse reply here or WhatsApp +255757421949
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Kwa mahitaji ya nguo za kiume na kike kwa jumla na rejareja wasiliana nasi kwa number 0783849959. Au unaweza kupikata katika maduka yetu yaliyopo kinondoni ananasifu kona ya kwenda kanisa la pinda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jioni ndugu zangu. Ninakuja kwenu nikiwa nina mzigo wa samaki wa Sato na Kambale. Ninauza samaki hawa kwa bei ya Sh. 5,500-6,000 kwa kilo, na ningependelea kupata wanunuaji wanaotaka...
0 Reactions
33 Replies
12K Views
Wana jamii poleni kwa majuku ya kila siku na mihangaiko ya hapa na pale , Ktk harakati za kujikwamua kiuchumia Nimeona ni bora nijikite kwenye shughuli mbalimbali za kiujasiriamali ambapo...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Gari aina ya gf gx100 inauzwa Dar es Salaam, Gari inaumika na iko vizuri sana. Gari hii features zote za ndani zinafanya kazi, AC iko sawa, taa za ndani, za milango hata ile ya shed iko bomba...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
*LG g3 for sale* Simu ni mpya bado haina tatizo lolote *_specs_* >internal storage 32gb (expandable to an sd card) ,RAM 3gb , Network 4g ,laser focus camera , *_location dar es salaam Sinza_*...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wadau, tunauza dagaa waliokaangwa kutoka mwanza kwa bei ya jumla.Bei ni tsh 8500/= kwa kg mmoja na/au ndoo kubwa ya ltr 20 kwa tsh 50,000/=.tunapatikana
0 Reactions
0 Replies
705 Views
2.5 Acres, Beach/Sandy plot for sale at Buyuni- Kigamboni* .(45km from Feri kigamboni, and 500mtrs from the sea).Has clear Local documents! 1 acre for Tsh 12M.Cont; 0683715304
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Kwa wale wenye uhitaji wa modems za a in a mbalimbali tupo Kwa ajili yenu au unahitaji kuifanya modem yako itumie line zote tunafanya hivyo Kwa bei poa.bei zetu za modem zinanzia Tsh 20000 na...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojielezea, kama una product yoyote ya mambo ya shule(School Management System) au ya biashara(Inventory Management System). Njoo PM tuyajenge...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Visit: YNS.apg-ea.com Call: 0736 937 937 We are offering short courses and workshops in Fashion Design, led by Yvonne Njau. Yvonne is a Tanzanian Fashion Designer studying in IFA Paris, France...
0 Reactions
1 Replies
446 Views
Nna million tano cash naitaji vitz ambayo ipo kwenye hali nzuri NA pia nna million 6 cash nahitaji Ist ambayo ipo kwenye hali njema kabisa
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Habari wakuu Kuna mambo mengine ambayo huwa hatuyapi uzito sana katika biashara/ujasiriamali japo ni muhimu sana. Jana nilipata nafasi ya kutembelea eneo la Mbagala na vitongoji vyake na kuona...
8 Reactions
31 Replies
8K Views
Wanajamvi natafuta mtu wa Zanzibar ambaye anaweza kuniunganisha nikapata vile vipikipiki viko kama kobe ambavyo nyuma unafuka katairi huwa wapemba wanaviendesha, kama kuna mtu anajua jinsi ambavyo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanajamvi Salaam, Nadhani wengi mtajiuliza kwa nn natafutia hapa wakati jiko zipo tele dukani. Jibu hela yangu ndogo,nimeshindwa kumudu bei ya dukani. Hivyo mwenye nalo anifuate inbox tufanye...
0 Reactions
4 Replies
921 Views
Habari zakwakoop wakati huu wanajamvi .. Natafuta mtamba wa miezi saba aina ya Friesian Au arshire anayeweza kuhimili mazingira ya dar es salaam maeneo ya mbezi mwisho( mbezi ya kimara)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…