Bro asante kwa kutuhabalisha pia Bei za mitamba toka huko serikalini
Kwani lazima awe wa miezi saba tu? Nenda kwenye mashamba ya serikali ila huko wanauza wale wenye mimba tu! Pia huwa wanatolewa kwa order, cha ajabu serikali waivyo matutusa unaweza kukaa sana bila kupata ng'ombe wako. Angalia hizo bei kwenye hicho kiambatanisho. Kwa wewe wa Mbezi ukipata anayetokea Ngerengere ndiye atakufaa maana hali ya hewa zinakaribiana kama siyonana. Usilogwe kuchukua wa Kitulo itakubidi umfungie feni kabisa![/QUOTE
Asante mkuu, ukifika huko utupe mrejesho ya kile ulichokikuta, maana serikali nao hawajambo kwa kujigamba!!Asante sana ndugu yangu kwa mwongozo huuu. Mungu akubariki sana. Nategemea jumamosi kuanzia safari ya kwenda kutafuta gerengere
Barikiwa sana