GF - GX100 CRESTA 2001 NYEUSI INAUZWA MIL 3.9

Davey 2017

Senior Member
Mar 24, 2017
109
133
Gari aina ya gf gx100 inauzwa Dar es Salaam, Gari inaumika na iko vizuri sana. Gari hii features zote za ndani zinafanya kazi, AC iko sawa, taa za ndani, za milango hata ile ya shed iko bomba, engine kama unavyoina ni BEAMS 2000 1G-FE VVTI, cc ni 1980.

Gari hii ni ya kununua na kuondoka, VVTI solenoid ilifungwa mpya hivyo inatumia mafuta kidogo zaidi ya nyingine.

Imefungwa shockups mpya za mbele, spacers, na imefanyiwa mods kidogo kwenye exhaust pipe kwahiyo inachomoka kama risasi.

Mimi siyo dalali ni mmiliki, njoo na fundi ujaribu gari, iko huwa inakuwa kigamboni na maeneo ya posta

Bei ni 3.9 MIL

0743753561
 

Attachments

  • IMG_20180714_110419.jpg
    IMG_20180714_110419.jpg
    425.5 KB · Views: 114
  • IMG_20180714_110439.jpg
    IMG_20180714_110439.jpg
    461.7 KB · Views: 118
  • IMG_20180714_110511.jpg
    IMG_20180714_110511.jpg
    307 KB · Views: 103
  • IMG_20180714_110529.jpg
    IMG_20180714_110529.jpg
    162.3 KB · Views: 95
  • IMG_20180714_110551.jpg
    IMG_20180714_110551.jpg
    174.8 KB · Views: 99
  • IMG_20180714_110558.jpg
    IMG_20180714_110558.jpg
    202.7 KB · Views: 95
  • IMG_20180714_110607.jpg
    IMG_20180714_110607.jpg
    230.1 KB · Views: 96
  • IMG_20180714_110615.jpg
    IMG_20180714_110615.jpg
    193.3 KB · Views: 94
  • IMG_20180714_110637.jpg
    IMG_20180714_110637.jpg
    274.2 KB · Views: 99
  • IMG_20180714_110721.jpg
    IMG_20180714_110721.jpg
    262.8 KB · Views: 96
  • IMG_20180714_110727.jpg
    IMG_20180714_110727.jpg
    265.6 KB · Views: 90

Similar Discussions

Back
Top Bottom