Vijana watano "20-29yrs" wanahitajika kikazi

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
3,030
Reaction score
4,651
Wakuu habar zenu!!

nahitaji vijana watano (watatu wakike na boys wawili) wenye uwezo wa kiushawishi na wanaojiamini (wawe serious na wasilete usaniisanii).
kikubwa zaidi nawahitaji watakao andaa ripoti maalumu inayohusu "Drivers of Climatic Changes in Sub-Saharan Africa"......kigezo cha Kiwango cha elimu hakitazingatiwa sana bali uwezo binafsi wa mtu! but ukiwa Degree holder in Climate or Environmental related courses itapendeza......

Nahitaji kazi hiyo iishe ndani ya mwezi huu coz mwezi September tunaenda kuisubmit "IPCC world Climatic change zonal reports" in Honolulu-Hawaiii......please wakuu mambo mengine tutafahamisha PM karibuni!!
 
You are not serious hiyo kazi yako inahusiano gani na umri wa mtu, eti 20-29yrs, hiyo ni professinal work haizingatie umri, au lengo ni ku exploit kwa ku wa under pay vijana wadogo
 
ndio maana hapo mwisho nikasema "mambo mengine mje PM tuelezane".... But kwa kifupi ni kwamba hii project ni mahususi kwa Youths na si watu wazima
 
Wakuu habar zenu!!

nahitaji vijana watano (watatu wakike na boys wawili) wenye uwezo wa kiushawishi na wanaojiamini (wawe serious na wasilete usaniisanii).
kikubwa zaidi nawahitaji watakao andaa ripoti maalumu inayohusu "Drivers of Climatic Changes in Sub-Saharan Africa"......kigezo cha Kiwango cha elimu hakitazingatiwa sana bali uwezo binafsi wa mtu! but ukiwa Degree holder in Climate or Environmental related courses itapendeza......

Nahitaji kazi hiyo iishe ndani ya mwezi huu coz mwezi September tunaenda kuisubmit "IPCC world Climatic change zonal reports" in Honolulu-Hawaiii......please wakuu mambo mengine tutafahamisha PM karibuni!!
Fika bei mkuu
 
Hello Mkuu.
Naomba maelezo kamili, juu ya hiyo project.
 
Back
Top Bottom