Greenhouse yenye ukubwa wa sqm 80 iliyopo tegeta wazo inauzwa.
Bado ni mpya na ina uwezo wa kitumika kwa zaidi ya miaka mitano mbele. Ipo na facilities zote hasa maji.
Inafaa kwa kilimo chochote...
Habari! Wakuu naomba msaada wa bei kwa simu tajwa hapo juu dondoo au mwenye duka k/koo ambae anauza kwa bei ya jumla au mtu yayote anaelijua chimbo kwa hizi simu maana naonaga wale jamaa huwa kuna...
wadau nlikua natafuta eneo zuri hv la biashara ya chips ambayo isiwe ya bei ghali saana kama chini ya laki moja hv ambayo local local ila kuna wateja weng na lamechangamka maana nmesumbuka sana...
Nauza juice dispenser ya container 3. Bado ni mpya kabisa hajawahi kutumika. kwa atakaye hitaji nipo dar maeneo ya airport. Tunaweza wasiliana kupitia namba zifuatazo;
0755211064, 0716433382
Bei...
Bei ni sh. Laki 5 ( laki tano) kwa mwezi ilipwe miezi 6 ( miezi sita)
Nyumba inavyumba v3 vya kulala
Ina master bedroom
Ina sitting room
Ina dining
Ina kitchen
Ina public toilet
Ina tiles
Ina...
Bei ni sh. Laki 7 ( laki saba) kwa mwezi ilipwe miezi 6 ( miezi sita)
Nyumba inavyumba v3 vya kulala
Ina master bedroom
Ina sitting room
Ina dining
Ina kitchen
Ina public toilet
Ina tiles
Ina...
(Price 200-150k)
NEW DESIGN FOR ROOFING
KATI YA VITU VINAVYOSAIDIA KUPUNGUZA GHARAMAH NI HII HIDDEN ROOF,
HUSAIDIA MTEJA KUPUNGUJA HADI 40-50% OF ROOFING COST (INATUMIA MBAO CHACHE NA BATI)...
Wakuu natumaini hamjambo.
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu.
Naomba kueleweshwa,ni njia gani kati ya kuuza nyama ya nguruwe kwa kilo jumla na kuuza nguruwe mzima mzima. Ipi ni njia nzuri na...
Bei ni laki 4.5 ( laki nne na nusu) kwa mwezi ilipwe miezi 6 ( miezi sita)
Nyumba inavyumba v3 vya kulala
Ina master bedroom
Ina sitting room
Ina dining
Ina kitchen
Ina public toilet
Ina tiles...
Nyumba ipo tegeta wazo kama unaelekea madale kituo kinaitwa kontena
Nyumba ina vyumba 3 self
Bei 80m
Maongezi zaidi au kuja kuona wasiliana nami kwa
0756060183
Bei ni laki 5 ( laki tano) kwa mwezi ilipwe miezi 6 ( miezi sita)
Nyumba inavyumba v3 vya kulala
Ina master bedroom
Ina sitting room
Ina dining
Ina kitchen
Ina public toilet
Ina tiles
Ina gypsum...
Kwa mtizamo wangu huyu mkulima wangu wa vanila wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera nahitaji msaada mkubwa wa serikali kusaidiwa kwanza ulinzi pili kupata soko la uhakika, siku ya Jumamosi tarehe 24...
Mwenye ndoo ndogo za lita 10 zile zilizoisha mafuta anifahamishe nimpe mawasiliano tufanye biashara.
Nahitaji nyingi kwa bei ya jumla, bei maelewano.
Location ni Dar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.