Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

NATAFUTA KIWANJA MAENEO: GOBA,SALASALA, MAKABE, MADALE UKUBWA : KUANZIA 1000 SQM. OFA : TSH. 6M
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada tafadhali Aina hii ya glycerin naweza kuipata duka gani kwa Dar es salaam?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi Leo tujadili kwa pamoja njia ambazo unaweza ukatumia kupunguza gharama wakati wa ujenzi 1. Kuchagua simple design(avoid complex design) au tuseme chagua ramani nzuri na rahisi haina...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Nondo gani nchi ngapi ndo zinahitajiaka sana katika ujenzi wa nyumba hizi Za kawaida ? Pia ni Za kampuni gani ndo wana unaza kwa bei nafika zaidi apa dar es salaam
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa kisomekavyo, nahitaji mini laptop bajeti yangu 200000 nipo Dar.
0 Reactions
1 Replies
670 Views
MOAN PRODUCTS.. Ni watengenezaji na wasambazaji wa UNGA bora wa LISHE kwa matumizi ya lika zote.. pia tunatengeneza Unga wa MBEGU ZA MABOGA wenye kazi nyingi sana mwilini kama; ●kukuepusha na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Poll Poll
BEST UNLOCK SOLUTION ni wataalamu wa kuflash na ku-unlock SIMU aina zote kwa njia ya mtandao. KU-Flash simu na KU-Unlock simu aina zote (Iphone, Samsung, Blackberry, Sony Xperia, Tecno etc)...
1 Reactions
48 Replies
11K Views
Wakuu, nipo MTWARA mjini nahitaji saa Kali ya mkononi dizain kama gold Fulani hv isiyopauka kwa mda mrefu.. So nahitaji kufahamishwa maduka na maeneo ambayo ninaweza kupata hyo kitu bajeti yangu...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Nauza tv tajwa hapo juu...yenye sifa zifuatazo: Screen size: 40 inch Resolution: Full HD 1080p Version: Series 5 USB port: 1 HDMI port: 2 Imetumika kwa mwaka mmoja, iko kwenye mint condition...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je wewe ni mkazi wa Dar es Salaam, Morogoro au Dodoma, na unamiliki "Day Care Centre" au "Pre-/Primary School' na ungependa kuiendesha kisasa ili kuendana na ushindani katika soko la elimu? na je...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Pata huduma zifuatazo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama NAFUU SANA, utakayolipia kwa awamu.: Mafunzo mafupi ya Usimamizi wa Miradi na Mipango Mkakati (Project /Strategic Management)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Maendeleo ya jamii katika nyanja mbalimbali huletwa kwa ushirikiano baina ya wadau mbalimbali. Miongoni mwa wadau hao ni ;Serikali, Asasi za kiraia, Kampuni za kibiashara, Mtu mmoja mmoja n.k. Ili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
PIKIPIKI HONDA 250 INAUZWA. Made:Japan Cooling system (rejeta) Speed 180 Sports rims Showcup za upepo Brake: disc both side V-twin engine (two in one) Full documents,in good condition. Contact:Pm...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samsung galaxy prime plus inauzwa iko katika hali nzuri kama uonavyo picha, bei ni 200k. I am selling Samsung galaxy prime plus best offer...its good as new, as it seems below on the picture...
0 Reactions
3 Replies
609 Views
Naitaji Till ya mpesa yenye document zake .ni pm tufanye biashara
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Habari wadau..nina mpago wa kufungua car wash and detailing shop...nina fanya research juu ya upatikanaji na bei equipments na products kwa Dar es Salaam..Zaidi niko interested kujua wapi naweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza tecno k7 ram 1gb storage 16gb finger print supported back camera 13mpx front camera 5mpx flash mbele na nyuma kazi kwako bei 170,000....kama upo serious nichek 0716385824..napatikana dar
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina huitaji wa kifaa hiki
1 Reactions
2 Replies
2K Views
SATA laptop harddisk inauzwa bei 45k location Dar #0713310711
1 Reactions
0 Replies
401 Views
Nauza bomba ziko katika hali nzuri kabisa iwe Mitsubishi canter ton 2 zinafaa au isuzu ziwe ni tipa au kawaida zinafaa tu bei laki 7 contact 0752048709 makambako njombe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom