BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,258
Wana JF, tunatafuta mzani (New or second hand) kwa ajili ya kupimia magari ya mizigo kiwandani kwetu.
Au hata mtu anaetengeneza platforms atengeneze then atuuzie.
Mzani uwe na uwezo wa kupimia 10 tonnes na kuendelea.
Kwa mawasiliano text or call
+255714010511
Au hata mtu anaetengeneza platforms atengeneze then atuuzie.
Mzani uwe na uwezo wa kupimia 10 tonnes na kuendelea.
Kwa mawasiliano text or call
+255714010511