Wapi nitapata Alovera gel na Rose water?

Wapi nitapata Alovera gel na Rose water?

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,940
Wapi napata hizo bidhaa wadau, ninazihitaji.

Shukrani!
 
Roho mbaya at work
 
Aloe Vera jelly bora unitafute fresh yaan chukua jani la mualovera toa maganda ndani utapata jelly yake... Hiyo nyingine Rose water almost kiiila duka la vipodozi wanauza bei ndogo kabisaa
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Wapi napata hizo bidhaa wadau, ninazihitaji.

Shukrani!

Chief ninayo toka shamba ambayo inavunwa kwa mikono sio mashine kwa hiyo ni pure aloe na haijaongezwa any preservatives. RAW ALOE GEL. Tuwasiliane
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Chief ninayo toka shamba ambayo inavunwa kwa mikono sio mashine kwa hiyo ni pure aloe na haijaongezwa any preservatives. RAW ALOE GEL. Tuwasiliane
Unapatikana wapi
 
Back
Top Bottom