Nasafisha taa za magari na kuzirudisha katika upya wake

LJ BLOG

Senior Member
Jul 24, 2011
194
151
32018.jpg

Je Taa za Gari lako zina ukungu, Zimepauka?Kupelekea hupati Mwanga wa Kutosha wakati wa Usiku?Na Ushafikiria Kununua Taa Nyingine? Kama Ni NDIO Basi sasa huna Haja ya Kuwaza Kununua TAA NYINGINE

Nasafisha na kuzirudisha kwenye Hali yake ya upya lakini Ukipata muonekano amaizing na Kupata mwanga wa Kutosha Wakati wa Usiku na gari lako kuongezeka thamani

Kwa Gharama nafuu kabisa ya Shilingi Elfu 35 tu Nakufuata Popote Ulipo kwa Dar Es Salaam Na Taa zako zinarudi kwenye Upya Kabisa Unaweza kutembelea ukurasa wetu wa instagram kuona kazi zetu

Na nimeambatanisha clip fupi tu....

Nipigie Simu 0712 390200 sasa Nije Kukuhudumia
 
Nilikua amazed siku nilipojua tootpaste inaweza kusafisha kioo cha taa ya gari kwa ufanisi
 
Nilikua amazed siku nilipojua tootpaste inaweza kusafisha kioo cha taa ya gari kwa ufanisi
Endelea Kutumia hio dawa ya mswaki lakini hupati Mng'ao unaopatikana kwa kutumia teknolojia hii ya Kisasa Kabisa
 
mnatuibiaga sana. kumbe colgate ya sh 1500 unafanya kazi sawa
Kama unaona unaibiwa we endelea Kutumia dawa ya mswaki lakini Matokeo hayawezi kufanana hata kwa dawa Kwa Reality na sio Youtube
 

Angalia video hio then matokeo utakuwa nayo mwenyewe

Faida ya Kutumia Teknolojia ya Kisasa ni kwamba Unakaa Miaka miwili na zaidi Taa haijarudi kwenye Ukungu
Hizo dawa za mswaki Unasafisha leo Baada ya wiki Imerudi kwenye hali yake Ukungu

Wenye Kuelewa na kuthamini Magari yao Ndio Wanaelewa nini tunafanya.

Karibu Sana Wadau wote
 
Back
Top Bottom