MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,167
- 35,733
Mafundi hebu tusaidieni,
Inawezekanaje kutengeneza makabati ya jikoni kwa mita moja iwe 1,200,000? Hata kama mbao ni mninga, kwanini iwe ghali kiasi hiki?
Ina maana kama unajiko mita 4 unahitaji 4.8m kweli? Hebu tuambieni ukweli wa hizi gharama ...