Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Automatic inasehem mbili zakupikia inayofanya upike chips nying kwa wakat mmoja inakausha vizuri ipo tabata kimanga. Price 1.2 M. Serious buyers 0764804646
1 Reactions
0 Replies
431 Views
Nahitaji archtecture wa kunichorea ramani ya nyumba. Kiwanja kipo DSM. Ni nyumba ya vyumba v3 na facilities nyingine kama kawaida. Tuonane inbox kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jaman nahitaji mtu anayeweza kunikopesha simu aina ya Teckno K7 au K8 kwa bei ya 250000. Ila nimlipe mwezi wa 12 kuanzia tarehe 23-30. Kwa mtu aliye serious. Tuwasiliane kwa 0624872625 ili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nawatakia kila jema wakuu, tuna kuku wa nyama hapa bunju wako na umri wa wiki tano saa tunatafuta wateja kwa bei ya 6000 mpaka 5800. Kuku wapo 450.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Inapatikana DSM Bei tshs 200,000. Inauwezo wa ku run friji na Pasi ya umeme. 0693179844
0 Reactions
14 Replies
2K Views
INVESTOR(S) WANTED (Preferable in Agri-business projects) Experienced and energetic graduate seeks potentials with capital to join efforts to invest, in strategically located, and profitable...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jf,mimi nafanya biashara ya mayai ya kuku wa kienyeji,binafsi sio mfugaji ila nakusanya kutoka kwa wafugaji wadogo wadogo wasiozalisha mengi kwa wakati mmoja. Nipo Dar,nauza tray kwa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Kama unauza kitanda cha chuma kilichoyumika Tafadhali. Ni PM Haraka sana kinahitajika.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KIWANJA KINAUZWA, Mil 6--BUNJU. Ukubwa:- M25/M30. Eneo. Kinondo, unashuka Bunju shule, unaelekea upande wako wa kushoto kama unatokea Mwenge. Umbali:- Nikama Km 2 kutoka barabarani. NB...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wakuu Nimesikia hapo kibaha jeshi (Nyumbu) watengeneza magari mazuri na ya kiwango. Nimejaribu kuangalia website yao hata haifunguki. Nimedhamilia kwenda kuangalia product zao na kununua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu kwa yoyote yule anaefahamu sehemu gani naweza kupata kitabu cha Evarist Chahali kinachoitwa Shushushu naomba aniambie wapi nitakipata. Nawasilisha.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuna mtu anahitaji kuzalisha CD 400 (video) tupe bei yako.Uwe unapatikana dsm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
imarisha mwonekano wako na fufua uzuri wako kila mtu anangozi nzuri na yenye kuvutia kwa namna yake lakini kuna mambo yanayo fanya tufubae ngozi zetu zisiwe nzuri kama inavyo takiwa na haya...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 16 njia ya kwenda wilaya ya pangani kata ya kirare kijiji cha kirare shamba halijawahi kulimwa. main road bei maelewano. nitafute 0787913493
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumia mashine ya Kisasa Kabisa Kwaajili ya Kusafisha Taa za Magari na kuzirudisha katika Ubora wake Kwa gharama nafuu kabisa ya Shilingi za Kitanzania Elfu 35 Tu. Tarajia Matokeo haya Taa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Hi., im selling my playstaion3 super slim console., still is in excelent condition come with two game pad(controllers) Hdmi cable and power cable also installed 8 games FIFA19, PES19, GTA, NFS...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahitaji smart watch, iwe kwenye hali nzuri, Aina ya Samsung nitazipa kipaumbele lakini pia brand nyingine zenye hali nzuri nitazizingatia. Picha zije Kwa .... 0716403314 0765982838. Asanteni wana...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Wadau friji inauzwa,ina miezi minne tu toka inunuliwe,ni ya dukani,ina 90W kwaiyo sijawahi waza suala la umeme,haili umeme kabisa,bei Tsh170,000/=,nipo Dar.....mawasiliano 0714260266
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Specifications zake : 3 GB DDR III RAM HDD 500GB 32 GB eMMC STORAGE INTEL INSIDE WINDOWS 10 PRO 8 HOURS AVERAGE BATTERY LIFE COLOUR: GOLD VERY VERY SLIM AND PORTABLE HASWA. IPO KATIKA HALI NZURI
1 Reactions
5 Replies
2K Views
BUY FOR ME
1 Reactions
1 Replies
824 Views
Back
Top Bottom