Mwenye utaalamu na Forex Kwa Moshi anahitajika

Mwenye utaalamu na Forex Kwa Moshi anahitajika

zeebaba

Senior Member
Joined
Apr 17, 2018
Posts
180
Reaction score
212
Kama kichwa kinavyojieleza hapo naweza pata mdau yoyote aliyopo Mjini Moshi mwenye uzoefu juu ya Forex kuweza kuyajenga? Kama uko tayari basi ni DM kwa taarifa zaidi!
 
Hiyo ilishakuwa proved humu kuwa ni utapeli, wewe nenda katapeliwe kivyako usije kutafuta wa kumlaumu humu.
 
Naona mmerudi tena kwa id mpya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu bado wana hamu ya forex, ngoja nihamie kwa wazee wenzangu wa kuweka mzigo
 
Hiyo ilishakuwa proved humu kuwa ni utapeli, wewe nenda katapeliwe kivyako usije kutafuta wa kumlaumu humu.

Me sijasema ni utapeli mada inajieleza vzr hapo juu shida iko wapi? sio lazima kila post ucomment
 
Back
Top Bottom