Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja chenye Hati miliki/tittle deed, ukubwa wa ujazo (Square meter) 954 (ujazo wa kati yaani medium density)kipo kwenye mradi wa Madaganya Manispaa ya Morogoro, Barabara ya Morogoro-Iringa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HTC ONE M9 IPO SOKONI WANAFAMILIA WA #JF RAM 3GB ROM 32GB warmly welcome ...price not fixed. Negotiable. Nb; ukitaka kuiona physically ruksa nipo dsm
0 Reactions
3 Replies
756 Views
SUBARU LEGACY B4 Year------2004 Drive------2wd Engine------cc1990 Other option------AW FOG NV •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI------10.8Mil (Unaweza lipia awamu mbili) MALIPO YA...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi nina kuku wa nyama wapatao 200 ambao Mungu akipenda kuanzia tarehe 17/12/2018 nitaanza kuwatoa Hivyo naomba kama mtu ana uitaji na kuku hawa aje ani PM ili aweke oda mapema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nissan Xtrail Year---2003 Grade---x Drive---4wd Engine---1990cc Other option---AW FOG NV •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI---11.9mil 0715558258
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Pamoja na dollar zote wanazokusanya kila siku lakini hata website tu wameshindwa, www.tanzaniaparks.go.tz seemsto be dysfunctional. Wanatangaza kazi, wanasema uombe online, sasa fungua hiyo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni Honda xelvis tv250,nilipewa na boss baada ya mkataba kuisha
0 Reactions
134 Replies
12K Views
Habari zenu wapendwa. Mchele huo super kilo 1600 ukichukua kuanzia kilo 20 tunakufanyia 1500 Delivery utachangia kidogo press order yako karbuni sana. Kwa mawasiliano tupigie kwa no 0713336158
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu? Nina mtu namjua alikuwa na kibanda leo kwenye shuguli ya Firsta pale Leaders,kuku (100)bila kusahau nyama fillet ya mishkaki, utumbo supu ndizi mikungu ya kutosha. Kwa anayehitaji kwa...
7 Reactions
64 Replies
7K Views
used samsung galaxy grand prime 1 ram 1gb internal memory 8gb colour black internet 3g dar es salaam Bei 140, 000 contact 0712518770 picha tuwasiliane nikutumie watsap mana ku upload imenigomea
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Toyota Runx Year----2002 Engine----1490cc Drive----2wd Other option----Rs •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI----12mil {unaweza kulipia awamu mbili} Malipo ya kwanza----6.2mil...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Toyota Townace Noah Year-----------1999 Grade------------road tourer Drive-------------2wd Door-----------------4 Seat-----------------8 Other option------------AW AERO RR RS FOG...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Audi A4 Year---2005 Engine---1980cc Drive---2wd Other option---AW FOG L-SEAT L-SEAT •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI---12.5mil {unaweza kulipia awamu mbili} malipo ya kwanza---6.7mil...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wauza smartphone,lg g5 mpya genuine inahitajika...kwa anayeuza anicheki PM
0 Reactions
1 Replies
829 Views
1.Chumba Ubungo Maziwa Tsh60,000 miezi sita. 2.Chumba karibu na Mabibo Hostel Tsh50,000 miezi sita. 3.Chumba na sebule Riverside Tsh100,000 miezi sita. Nyumba na chumba cha kupanga karibu na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mi ni mfanyakazi wa tanga fresh naish tanga, Ila nina ofisi ya TIGO PESA, M PESA, MAX MALIPO, AIRTEL MONEY NA HALOPESA. Ofisi ipo...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari! Nahitaji laptop Kwa yoyote anaeuza iwe dell, HDD atleast 500gb,ram 4gb iwe na uwezo wa kukaa chaji at least 4hrs.mwenye nayo naomba anicheki tafadhari!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakubwa shikamoni Mi ni kijana umri 20 natafta kazi yeyote mwenye nayo anisaidie mungu awabaliki napatika dar lakini nyumbani tabora
1 Reactions
5 Replies
968 Views
show case hii kwa fundi wanauza 350,000/= mimi nauza 180,000/= ukubwa wake ni futi moja na robo kwa futi sita ina kasoro kama zinavyoonekana lakini ikiwekwa gundi itafanya kazi vizuri kabisa ipo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
SOLD NETWORK: 2G, 3G & 4G DISPLAY: 5.7 Inches RESOLUTION: 1080 x 1820 SIM: Micro Sim/ Single PROTECTION: Corning Gorilla Glass 3 OPERATING SYS: Android 4.3 (Upgradable to Android 5.0)...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom