Forex Trade: Jipatie MK45Strategy bure kabisa.

Naona uzi wangu ulifutwa bila sababu ya msingi.

Ebu pakua mzigo huo wa mk45strategy for free.

Link:
Thanks men! Nimeitest Mk45. Kwa haraka haraka nimese tu kwamba ipo poa hasa kwenye pin bar setup na trend indication! GOD BLESS U! Naiongezea kwenye strategies zangu!
 
Ndugu unatumia strategy gani nyingine aise?
 
Mara nyingi natrade price action (pin bar strategy) na hzi customized moving average + macd
 
Thanks men! Nimeitest Mk45. Kwa haraka haraka nimese tu kwamba ipo poa hasa kwenye pin bar setup na trend indication! GOD BLESS U! Naiongezea kwenye strategies zangu!

Mkuu nimejaruibu kubacktest strategy yako ila sijaona sehemu ambayo UA limekuwa formed..sasa sijui kuna tatizo gani labda. MA zinacross vizuri tu ila sioni UA
 
Naona uzi wangu ulifutwa bila sababu ya msingi.

Ebu pakua mzigo huo wa mk45strategy for free.

Link:

Mkuu nimejaruibu kubacktest strategy yako ila sijaona sehemu ambayo UA limekuwa formed..sasa sijui kuna tatizo gani labda. MA zinacross vizuri tu ila sioni UA
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 5-15 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
Back
Top Bottom