Jipatie bajaj used kwa bei nafuu

Jipatie bajaj used kwa bei nafuu

Blues1

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
663
Reaction score
1,413
Bajaj inauzwa bei nafuu
Imetumika mwaka tu lakini mwonekano wake ni mzuri kabisa
Haijawai kushushwa engine(engine yake haijaguswa)
Ina vibali vyote na haina tatizo lolote
 
Mbona hiyo bei ni kubwa zaidi ya mpya ambayo haijatumika kabisa?!
 
Bajaj inauzwa bei nafuu
Imetumika mwaka tu lakini mwonekano wake ni mzuri kabisa
Haijawai kushushwa engine(engine yake haijaguswa)
Ina vibali vyote na haina tatizo lolote
Piga 0653783552 kwa serious buyer
Hiyo ni Bajaj au Piagio?
 
Mkuu hiyo bajaj iliibiwa Songea mwaka jana.
Badilisha hata rangi hiyo rangi utadakwa nayo.
 
Back
Top Bottom