Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji maembe kwa jumla kilo 5000..tani 5 ya maembe dodo na boribo kwa yeyote mwenye nayo tafadhali nisaidie namba ya simu tuwasiliane tupige biashara ila nahitaji kwa bei nzuri ya jumla na...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Mzigo mpya umeingia Jana duuka lipo Karakoo. Laptop kuanzia Laki 2 na elfu 80 ni used nje ya nchi. Kwa Dar es salaam tunakuletea ulipo bure. Mawasiliano piga: 0715514050
1 Reactions
22 Replies
20K Views
Kwa mahitaji ya marble na granite ujumla na rejareja na mafundi bora wa ujenzi wa majiko bora naya kisasa pamoja na ujenzi wa tiles piga /whatsapp 0657441192
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa? Gari aina ya Mitsubishi Pajero Mini ya mwaka 1999 inauzwa. Cc: 650 (low fuel consumption) Km: 122,000 Bei: 5,800,000 (Maongezi yapo kwa mteja aliye serious) Gari hii...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
KIWANJA KINAUZWA ENEO LA MBWENI MALINDI, UKUBWA WAKE NI SQM 800,KINA HATI,BEI YAKE NI MIL 50,MAONGEZI KIDOGO YAPO 0659240570
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya humu wana jamii Nahitaji mashine ya kusafisha mpunga na kuugradi madaraja maanne Supplier au dealer awe na maelezo ya kutosha na kukubali kufunga na kutoa maelekezo namna ya kutumia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jiunge sasa na Dstv kwa punguzo la bei ambapo utapata vifaa vyote kwa Tsh 79,000. Pia utapewa mwezi mmoja bure wa kifurushi cha Compact chenye Channels zaidi ya 90. Utashuhudia mechi zote za Uefa...
0 Reactions
28 Replies
15K Views
Dar es Salaam, Tanzania printer 2015- inaprint karatasi 30 kwa dakika na ipo katika 'good' condition BEI 250,000/= MAKABATI YA KUUZIA VITU VYA DUKANI AU KUPANGIA VITU VYA STESHENARI BEI NI...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Habari, Viwanja vizuri, Vinapatikana MSUMI KWA BUNDALA, BEI KUANZIA Tshs. 3,500,000/= MPAKA Tshs. 6,500,000/= (Kama unavyoviona hapo kwenye Picha) Tuwasiliane kwa Mob. 0654308809 Karibuni sana.....
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nilikuwa nahitaji nianze biashara ya kukusanya Embe msimu huu maeneo ya Pwani humu na kuziuza. Naulizia kuhusu soko likoje? Nauza kwa jumla sio rejareja. Range ya mzigo nnaotegemea...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
1. SQM 3600 Kipo opposite na Ifisi hospital 120m (Negotiable). 2.SQM 4700 Kipo opposite na Songwe international airport,price 160m (Negotiable). NB; Plots zote zina “Tittle deeds” Zinafaa kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninawaza hapa,kuna mtu anahitaji nimtengenezee (design) Research Proposal kwenye moja ya current issues lakini ameniuliza bei gani? Sina jibu,wajuzi mnisaidie.Minimum na maximum iwe bei gani...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Toyota Rush Year---2006 Engine---1490cc Drive---2wd Other option---AW RS FOG HID BT NV P-START •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI---20.9mil {unaweza kulipia awamu mbili} Malipo ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Iko Madaba-Songea. Inaweza kufika itafika kati ya tani 15-20. Tuwasiliane 0765686062
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni samsung galaxy tab 10.1 Inaukubwa wa 10inch/7.5inch Inatumia lain/wifi Inatuma sms na 4G net. Camera nzuri BEI 300K CONT 0787101726 KARIBUNI
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni mashine ya ‘Massage’ nzuri Kwa ajili ya wale wanaosumbuliwa na matatizo ya kichwa kuumwa Mara Kwa Mara na wanaokosa usingizi. Inasaidia msukumo wa damu na mishipa ya fahamu kufanya kazi Kwa...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Kiwanja kinauzwa Mkoni Kigoma, Wilaya ya Kigoma mjini maeneo ya Mwansenga kiwanja kina ukubwa wa mita 35 kwa 25, bei ni Sh. 3,500,000 maongezi yapo
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji display original ya Huawei p8 lite kama kuna mtu mwenye simu iliyokufa lakini display iko poa anicheki tufanye business.
0 Reactions
7 Replies
825 Views
Habari za Leo wanaJf Nahitaji Circuit ya Simu aina ya Huawei ( U 8220 ) Ama mtu yoyote ambaye anafahamu zinapopatikana Circuit ya Simu hii kwa Hapa Dar es Sallaam naomba anielekeze/Anijulishe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana jamvi natumaini mko poa ....... Hihi si ya kukosa msimu huu wa likizo.Mwalimu aliyebobea kufundisha masomo ya sayansi,ie Biology, chemistry,Mathematics na Physics anapatikana...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…