Habari Njema kwa wote

AKASINOZO

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
1,367
2,217
Heshima kwenu wana jamvi natumaini mko poa .......

Hihi si ya kukosa msimu huu wa likizo.Mwalimu aliyebobea kufundisha masomo ya sayansi,ie Biology, chemistry,Mathematics na Physics anapatikana kwa wale wazazi ambao hawapendi watoto wao kwenda kwenye vituo vya tuitions.
Mwanafunzi anahudumiwa na kupewa ushauri namna ya kusoma

Nafika maeneo yote ya dar es salaam na kwa bei poa kabisa
Kwa mawasiliano zaidi piga 0768647162
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom