Pajero Mini 4while Drive kwa 5,800,000

Pajero Mini 4while Drive kwa 5,800,000

rasachri

Senior Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
145
Reaction score
35
Habari wanajukwaa?

Gari aina ya Mitsubishi Pajero Mini ya mwaka 1999 inauzwa.
Cc: 650 (low fuel consumption)
Km: 122,000

Bei: 5,800,000 (Maongezi yapo kwa mteja aliye serious)

Gari hii imeendeshwa na mwanamke, imetunzwa vizuri ndani na nje. Options zote zinafanya kazi vizuri. Engine iko vizuri pamoja na gia box yake.

Tairi ni mpya.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0754455865.

Gari inapatikana Kigamboni- Dar es Salaam

IMG_20181120_123815_5.jpg
IMG_20181120_123905_4.jpg
IMG_20181120_123853_8.jpg
IMG_20181120_123843_6.jpg
IMG_20181120_123825_9.jpg
IMG_20181120_123932_8.jpg
IMG_20181120_123957_1.jpg
IMG_20181120_124007_0.jpg
 
Back
Top Bottom