Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini, Kuna kaka yangu ana viazi vitamu kama ekari 8 hivi na vinakaribia kukomaa ili vichimbwe. Tunatafuta masoko ya viazi vitamu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Natumai mpo mnaendelea na ujenzi wa Taifa. Umeme imekuwa ni tishio hasa pale inapofikia muda wa kupika. Usihofu suluhisho limepatikana, Majiko ya kisasa kabisa yanayotumia tekinolojia ya...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu! Natafuta laptop ninunue yenye sifa hizi kama upo Arusha au Dar ani pm. Iwe na.... >>500GB Hard disk >>4-8 RAM >>Processor intel i5 to i7 >>Life Battery ianzia 3Hrs kuendelea >>Iwe imetumika...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Salaam!! Nipo ktk hatua ya kupiga plasta nyumba yangu. Na kwa kuwa nina fedha kiasi kidogo nimeamua kuanza kupiga plasta kuta za ndani, na baadae nitamalizia upande wa nje...
0 Reactions
49 Replies
41K Views
Sim bado IPO vizuri haina shida Ram 4gb Internal 64gb Fingerprint clean na 4g No 0714018677 Location Dar kimara mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
877 Views
habari wana jukwaa.tukielekea siku ya wapendanao pata chupi nzuri za kiume za cottton zinazonyonya jasho isivae nylon utapata fangasi. au vaa cotton ndani alafu nje ndo boxer. pia chupi za wadada...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Shamba lilipo kando kando mwa ziwa Victoria linafaa kwa ufugaji, kilimo cha umwagiliaji na mengineyo linauzwa liko Bukumbi Mwanza,bei inaanzia million 10 mpaka million 30,unaweza kunipata Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MKOPO WA VIWANJA VILIVYOPIMWA BILA RIBA wala DHAMANA PATA VIWANJA VILIVYOPIMWA KWA MKOPO bila dhamana yeyote Ths 15000/= tu kwa squre mita moja. Mkopo wa viwanja na mashamba kwa bei nafuu bila...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuelekea siku ya wapendanao... Kama unataka kubadili ile harufu ya uvungu wa korodani utokapo kwenye mizunguko ya siku nzima au kupata bj soon ukitoka job aisee acha kabisa kuvaa chupi za nylon...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mada tajwa hapo juu yahusika. Nipo hapa DSM . Naomba kama kuna anayejua kiwanda cha kutengeneza hizi sabuni za magadi (mche wa rangi mbili bluu na nyeupe) hapa Dar. Asante
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunauza mayai Kwa bei ya jumla kuanzia 7000-8000 Tupo msimbazi center Tunafikisha mzigo ulipo kutokana na idadi ya mzigo uliyochukua Tunapatikana Kwa namba 0682939645. Mayai ni ya kisasa...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Laptop Computer nzima inahitajika. Bajeti 200,000/ Njoo inbox nipe sifa zake
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wapendwa habari zenu, Napika chakula majumbani, Kama unawageni na unatamani ungewapikia vyakula tofauti tofauti lakini huwezi au muda mdogo wewe niite nikupikie, Kama una tamani familia yako...
16 Reactions
117 Replies
10K Views
Habari wakuu Jamani anayeuza virutubisho vya watoto wadogo namuomba PM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
674 Views
For Sale Network 4g | Display 5.2" Ram 3gb | Storage 32gb Camera 23mp | Selfie 5mp Fingerprint scanner Condition used Bei 220000/= Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
918 Views
Nauza hili gari Mil. 3.9 Ubora wa hali ya juu... Nicheki 0684223374
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, wanaJF. Kama title linavyojieleza, natafuta waandishi ambao wanaweza kuandika na kuweka picha za maeneo ya kitarii kwa lengo la kuweka kwenye webiste . Lengo ni kitangaza nchi na kuwavuta...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangazo Tangazo Ninatengeneza Mikoba ya aina mbalimbali, mikoba hii inafaa kwa jinsia zote hususani jinsia ya kike, mabegi kwa waume na wanawake Pia mabegi ya wanafunzi yanapatikana mabegi kwa...
1 Reactions
32 Replies
10K Views
Hivii hii kampuni ya uwekezajiii imesajiliwa au ni fraud Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Viwanja vilivyopimwa kwa makazi na biashara vinauzwa Tegeta Wazo Hill plots available Tsh 25,000 per Sqm......6 km from main road Vikawe plots available Tsh 16,000 per sqm......3km from main...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom