Nauza hili gari Mil. 3.9
Ubora wa hali ya juu... Nicheki 0684223374
Gari model gani?maana waweza kuwa unauza gari inayokunywa petrol sana hilo hata kwa 2.5m huuzi
Asante ndugu yanguWatu mna maneno machafu katka biashara za watu, kama unaona huwez nunua unapungukiwa nn kukaa kimya jaman
Sent using Jamii Forums mobile app