Naomba kujuzwa wanapouza sabuni za magadi za jumla

UNIQUEMAN1

JF-Expert Member
Mar 20, 2018
378
448
Mada tajwa hapo juu yahusika. Nipo hapa DSM . Naomba kama kuna anayejua kiwanda cha kutengeneza hizi sabuni za magadi (mche wa rangi mbili bluu na nyeupe) hapa Dar. Asante
 
vipi kaka ushapata mimi naweza kusupply kwako kiasi chochote utakacho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom