Computer4Sale Acer laptop computer inauzwa bei nafuu kabisa

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
5,044
8,115
Habari za leo ndugu zangu

Nina Laptop computer available for sale, Inauzwa
Specification:
Ni computer used, japo haijawa kwenye matumizi muda mrefu
RAM ni 2GB
Hard Disk 500GB
Processor ni core i2

Bei ni nafuu Tzsh.laki 4 na 50,000 Tu. bado maelewano ya bei yapo.[/COLOR

kama umeipenda niandikie message pm tufanye biashara

KARIBUNI
 
Attachments

  • IMG_20190228_090504_2~2.jpg
    IMG_20190228_090504_2~2.jpg
    160.1 KB · Views: 33
  • IMG_20190228_090535_2~2.jpg
    IMG_20190228_090535_2~2.jpg
    119.7 KB · Views: 37
  • IMG_20190228_090803_2.jpg
    IMG_20190228_090803_2.jpg
    182.5 KB · Views: 39
Eti hiyo computer laki 8.5 hadi 7.5? Kaka acha kutuona maboya.

Komputer ya laki 4 hiyo unakuja kusema mpya inauzwa laki 8.5 hadi 7.5.
 
Eti hiyo computer laki 8.5 hadi 7.5? Kaka acha kutuona maboya.

Komputer ya laki 4 hiyo unakuja kusema mpya inauzwa laki 8.5 hadi 7.5.
Mkuu kaulizie bei ya sasa hivi siyo chini ya laki saba mpya kabisa, au kama vipi nunua hii yangu kwa laki 4.
 
Mkuu kaulizie bei ya sasa hivi siyo chini ya laki saba mpya kabisa, au kama vipi nunua hii yangu kwa laki 4.
Siwezi kununua hiyo computer kwa laki 4 used hiyo ukipata mteja boya utamuuzia kwa laki 3.

Ila kama umepata mteja mjanja ataanza na laki na 2 na akiongeza sana labda akupe laki 2 na 10.
 
Itakuwa ni mara ya kwanza kumiliki Pc. Kwahiyo ulitoa laki 8 kununua hiyo pc kweli aliyekuuzia alikukamata.
Amna mkuu mi kompyuta ninazo Kama 3 pamoja na hii so na hii sina matumizi nayo sana, lakini bei ya hii kompyuta dukani mpya ni laki 7 akiuza chini ya hapo ni kishikaji tu, Siyo Acer mtumba hii.
 
Kwani nini unasema hivo mkuu
Ram 2 Gb.
HD 500.
Core i2

Uuze kwa laki 8 au 7 na wewe used uuze kwa laki 4? Hiyo ndoto kubwa sana.

Kuna mdau dukani kwake anakwambia anauza laki 4 mpya sasa huoni uliuziwa mbuzi kwenye gunia?

Habari za Koromije.
 
Bei niliyo nunulia hii computer ni siri yangu lakini nasema Bei ya Sasa Ni laki 7, Mimi siyo was kuuziwa mbuzi guniani 😂😂😂🤗🤗🤗
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom