Kifanye kifaa chako cha mtandao universal kwa bei rahisi kabisa toka kwetu

Streetwinnercomputer

Senior Member
May 11, 2015
108
225
FB_IMG_1551329264488.jpg

STREET WINNER MOBILE & COMPUTER SOLUTION
Habari wakuu Kwa mahitaji ya huduma zifuatazo msisite kututafuta:-
Mahitaji ya Kuunlock network lock(Kama Una kifaa chako cha mtandao na kinatumia line ya mtandao mmoja au kimefungiwa na mitandao ya nje ya nchi Kama vile T-mobile,sprint,AT&T na n.k ili kitumie line ya mtandao husika basi suluhisho lako ndio sisi)
kwa mahitaji ya network unlock code(Kwa Simu,modem & router za promosheni au nje ya nchi zinazodai network unlock code usisite kutuona)
Tunaondoa Factory restore protection lock(Kwa wale wadau wenye Simu zao ambazo Kwa bahati Mbaya wamerestore kwa combination ya button na kusahau google account zao/hawana uwezo wa kuaccess wireless na inapowaka inahitaji kuwa connected na wireless ondoeni Shaka suluhisho lipo)
Tunatoa huduma ya data recovery(Kwa wale ambao Kwa bahati mbaya wamefuta taarifa zao Kwenye computer,Simu,flash disk,memory cards na n.k na wanahitaji kurejesha taarifa zao huduma hiyo inapatikana kwetu)
Tunarekebisha matatizo mbalimbali ya Simu upande wa softwares(Kwa wale ambao Simu zao zimezimika,shambuliwa na virus,zinaishia Kwenye logo,zinaleta SMS za unfortunately has stopped,kujiwasha data na kujidownload apps na n.k)
Tunarekebisha matatizo mbalimbali ya computer hardware na softwares(kufanya installation za softwares mbalimbali,kufanya installation ya operating system,kufanya installation ya drivers na n.k)
Jipatie vifaa mbalimbali vya computer(Tunauza Ram,hard drives,display,batteries,laptops chargers,DVD roms na n.k)

NB:- Huduma zinafanyika ofisini na Kwenye mtandao mahali Popote unaweza kuhudumiwa Ila baadhi ya huduma zinahitaji uwe na chanzo cha mtandao,computer na USB cables.
ANGALIZO: HATUFUNGUI SIMU ZILIZOZIMWA NA MAMLAKA YA MAWASILIANO(TCRA) NA WALA KUBADILISHA IMEI NAMBA TAFADHALI USITUTAFUTE KWA HIZO HUDUMA..
Mawasiliano 0712842283(Simu,SMS,Whatsapp)
instagram:Streetwinnerrechnology
Www.streetwinnertechnology.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

 • FB_IMG_1551329264488.jpg
  File size
  84.4 KB
  Views
  21
 • FB_IMG_1551329264488.jpg
  File size
  84.4 KB
  Views
  19

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom