tatamajuva
Member
- Sep 11, 2019
- 74
- 83
Banktelller ambaye ni dada anayeshughulikia check katika bank hii ni tatizo kubwa kwani yupo taratibu Sana kutekeleza majukumu yake.
Mteja anaweza peleka check akakaa hata siku nzima bila kuona muamala umeingia.
Nmb kumbukeni kwamba watu wana shughuli mbalimbali za kuinua kipata chao. Muda ni Mali, labda mteja anaweka hela ili atumiwe mzigo kwa siku hiyo na muda huo na inafanya shughuli kukwama.
Nbm manonga jirekebisheni huduma mnazotoa ni tofauti na matawi mengine.