Mwenza bora anahitajika

Nandinii

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
2,573
2,808
Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha

Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
2)Awe na miaka 29/30
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
6) Awe na ndevu za O
7)Awe na sura yoyote tu
8)Awe mweusi
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
10) Asiwe single father
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia
15)Awe anapenda utani
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
18) Awe na damu group O
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda
kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.

Sifa zangu
Atazipata taratibuuuuu. Ila ni mschana mbichiiii
Uje kama una izo sifa na haijapungua ata moja.


Ahahahahaha nashangaa watu sifa zao za mtu kuwa na kazi tu pamoja na umri. Hivi ndio vigezo sasa. (Nitaleta mrejesho ili watu muendelee kupata moyo wa kutafuta wenza kupitia jukwaa ili. Kama mimi nilivyopewa moyo na watu mbali mbali......
 
Mimi binafsi wanawake wa humu wengi ni wasaka hela na sio kuwa mke bora hata ukijitahidi kumweleza ukweli vipi ila ukifika kwenye sifa moja wapo kati ya hizi kuwa nimetokea kwenye familia masikini basi juwa hapo umeachwa, na nilichokipenda zaidi bora kusema ukweli ili wasio size yako wapite tu aje atakae ambatana nawe
 
Masharti chungumzima utandhani unabembeleza Visa Ya kwenda china katika kipindi hiki cha Corona,Alafu hapo mwisho ulipo malizia awe mvumilivu wa papuchi asikilizie utamu hadi baada Ya mwaka mmoja huku na Simu yake Uwe unashika wa kupimwa akili Wewe.
 
.
IMG_20200420_142136.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu siamini kama namba 9(iringa) na 14 (muislamu) zinanikosesha mke, baby kama hutojali njoo tuyajenge mana hapo nina vigezo 90.5%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom