Nguvu ya Papuchi katika mwaka 2017

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,480
Habari wana JF

Katika kuishi kwangu nimegundua papuchi ina nguvu kubwa sana. Nguvu ya papuchi haikuwahi kuwa katika akili yangu mpaka nilipoangalia movie inaitwa TROY. Ni movie base on ancient civilization, na hiyo Trojan civilization ndiyo asili ya huu msemo Trojan Horse. Kwakweli hapa nilishuhudia kijana akiingiza nchi yake kwenye vita kwasababu ya papuchi. Vita hiyo ilileta madhara makubwa mpaka kuangamiza utawala mzima wa TROY na nchi nzima. TROY ilikua inasifika kuwa ni utawala usioweza kuingilika na ulikua na ukuta imara na technologia iliyokua imeendelea kwa wakati ule. Haya mambo yalitokea zamani sana pengine kabla ya kuzaliwa Yesu Kristu.

Fundisho ni kwamba, hata sisi watu wa karne hii, papuchi imeendelea kuwa na nguvu sana. Tujiulize ni mara ngapi katika mwaka huu wa 2017, ambao tunaenda mwisho wake, papuchi imekuletea madhara katika maisha yako. Si vibaya ukatoa povu, papuchi itaendelea kuwa papuchi.
 
hivi kwanini mtu akiwa anaapa anashika vitabu vya dini? Je mpagani uwa anaapa kwa kutumia kitabu gani ?

b%2B%25281%2529.jpg





NB .PICHA HAINA UHUSIANO NA MADA
 
Tafuta series moja ya kama 10 years ago ilitamba sana UK inaitwa TUDORS, kisa cha mfalme Henry wa nane na kimada wake, mambo haya haya. Pia kuna mfalme wa Uingereza aliamua kuutema ufalme abaki na demu wake, nimemsahau jina.
 
Tafuta series moja ya kama 10 years ago ilitamba sana UK inaitwa TUDORS, kisa cha mfalme Henry wa nane na kimada wake, mambo haya haya. Pia kuna mfalme wa Uingereza aliamua kuutema ufalme abaki na demu wake, nimemsahau jina.
Nakubaliana na wewe mkuu, papuchi can make you or break you.
 
Back
Top Bottom