faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,592
- 1,725
Through expansion jointShare nasi maelezo yake kaka, hiyo picha inaonyesha mtu anakula kiapo sasa papuchi inaingiaje hapo?
Through expansion jointShare nasi maelezo yake kaka, hiyo picha inaonyesha mtu anakula kiapo sasa papuchi inaingiaje hapo?
hiyo ni kazi ya papuchi kwenye mizania ya kimataifaMulize Mugabe kilicho mkuta.
Kwa kweli papuchi ina nguvu sanaMfano namba moja wa nguvu ya papuchi ni story ya Samsoni na Delila! Papuchi ni uchawi wa aina yake aisee...
Huko kenya wavulana wao wananyimwaga papuchi na linakua ni jambo la kitaifa well coordinated, tuombe Mungu hatuepushie mbali sisi watanzania.Nguvu ya papuchi ni zaidi ya makombora ya kiduku
Kwa kweli maana kunyimwa papuchi usipokuwa imara wengine roho zinaacha mwili na wengi wamejiua kisa papuchi. Papuchi ni noma sanaHuko kenya wavulana wao wananyimwaga papuchi na linakua ni jambo la kitaifa well coordinated, tuombe Mungu hatuepushie mbali sisi watanzania.
Nyanda za juu kusini, hususani iringa, wavulana wengi wamejichomoa nafsi kwa sababu ya papuchi, nguvu ya papuchi inabidi ifanyiwe tafiti, hawa TWAWEZA wako wapi? papuchi imetesa watu wengi sanaKwa kweli maana kunyimwa papuchi usipokuwa imara wengine roho zinaacha mwili na wengi wamejiua kisa papuchi. Papuchi ni noma sana
Kamuulize Mzee Kingunge kule UKAWA...!hivi kwanini mtu akiwa anaapa anashika vitabu vya dini? Je mpagani uwa anaapa kwa kutumia kitabu gani ?
![]()
NB .PICHA HAINA UHUSIANO NA MADA
akipatikana kiongozi tutatafuta tu namna ya kumuapishahivi kwanini mtu akiwa anaapa anashika vitabu vya dini? Je mpagani uwa anaapa kwa kutumia kitabu gani ?
![]()
NB .PICHA HAINA UHUSIANO NA MADA
Mpe angalizo kuwa, asitazame hii Movie (series) mbele ya watoto -18Tafuta series moja ya kama 10 years ago ilitamba sana UK inaitwa TUDORS, kisa cha mfalme Henry wa nane na kimada wake, mambo haya haya. Pia kuna mfalme wa Uingereza aliamua kuutema ufalme abaki na demu wake, nimemsahau jina.
[emoji1] [emoji1] lakini hata dushe ina nguvu mkuu ndugu zetu upande wa pili wanaililiaga hadi nomaNyanda za juu kusini, hususani iringa, wavulana wengi wamejichomoa nafsi kwa sababu ya papuchi, nguvu ya papuchi inabidi ifanyiwe tafiti, hawa TWAWEZA wako wapi? papuchi imetesa watu wengi sana
Ni kweli, ila vioja vingi vinafanywa na wanaume kwasababu ya papuchi. Ziko familia nyingi zimetengana kwasababu ya mpango wa kando. Wapo wavulana ambao wamekua masikini kwasababu ya papuchi, vioja vinaweza kufika hapa na kwenye mwezi.[emoji1] [emoji1] lakini hata dushe ina nguvu mkuu ndugu zetu upande wa pili wanaililiaga hadi noma
Ndo maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili,walijua kabisa nguvu papuchi ni kubwa sanaNi kweli, ila vioja vingi vinafanywa na wanaume kwasababu ya papuchi. Ziko familia nyingi zimetengana kwasababu ya mpango wa kando. Wapo wavulana ambao wamekua masikini kwasababu ya papuchi, vioja vinaweza kufika hapa na kwenye mwezi.
hivi kwanini mtu akiwa anaapa anashika vitabu vya dini? Je mpagani uwa anaapa kwa kutumia kitabu gani ?
![]()
NB .PICHA HAINA UHUSIANO NA MADA
wewe wasema mkuuHahahah sema tu ukweli picha inauhusiano wa moja kwa moja na mada sema kma hauko current