Nguvu ya Papuchi katika mwaka 2017

Nguvu ya Papuchi katika mwaka 2017

Papuchi inatenganishaa familiaa..!! Waulize P-square... dadekii ilee kituu tamuu sanaa...hasaaa za kihayaa zina majiii safiiii....
 
hivi kwanini mtu akiwa anaapa anashika vitabu vya dini? Je mpagani uwa anaapa kwa kutumia kitabu gani ?

b%2B%25281%2529.jpg

NB .PICHA HAINA UHUSIANO NA MADA
Ahsante mkuu, nimeisave kwenye gallery yangu
 
Hapa kuna ma professors wawili wanapambana kwa hoja na thesis Professor MIXOLOGIST na Professor KENZY . niliusubiri kwa hamu mpambano wa ma proffesors hawa nione nani ataibuka kidedeea.
 
kuhusu PAPUCHI aka sambusa manyoya aka utamu bwege... ni kwamba uzembe na ujinga utakapokughalimu kwa maumivu ya mwili au kihisia kwenye matumizi ya PAPUCHI ndipo utajifunza umakini idhidi ya kiungo hicho....
niishie hapo..
 
Mkuu umeongea kwa lugha ya picha, nini kimekusibu?
 
Mkuu umeongea kwa lugha ya picha, nini kimekusibu?

masaibu ya uzembe juu ya matumizi ya papuchi(mapenzi upofu withcareless relations) yaliyonigharmu kwa ujumla wake ktk makuzi yamenipa umakini dhidi ya wamiliki wa hiyo kitu...
 
Habari wana JF

Katika kuishi kwangu nimegundua papuchi ina nguvu kubwa sana. Nguvu ya papuchi haikuwahi kuwa katika akili yangu mpaka nilipoangalia movie inaitwa TROY. Ni movie base on ancient civilization, na hiyo Trojan civilization ndiyo asili ya huu msemo Trojan Horse. Kwakweli hapa nilishuhudia kijana akiingiza nchi yake kwenye vita kwasababu ya papuchi. Vita hiyo ilileta madhara makubwa mpaka kuangamiza utawala mzima wa TROY na nchi nzima. TROY ilikua inasifika kuwa ni utawala usioweza kuingilika na ulikua na ukuta imara na technologia iliyokua imeendelea kwa wakati ule. Haya mambo yalitokea zamani sana pengine kabla ya kuzaliwa Yesu Kristu.

Fundisho ni kwamba, hata sisi watu wa karne hii, papuchi imeendelea kuwa na nguvu sana. Tujiulize ni mara ngapi katika mwaka huu wa 2017, ambao tunaenda mwisho wake, papuchi imekuletea madhara katika maisha yako. Si vibaya ukatoa povu, papuchi itaendelea kuwa papuchi.
Wewe ni jinsia gani?
 
masaibu ya uzembe juu ya matumizi ya papuchi(mapenzi upofu withcareless relations) yaliyonigharmu kwa ujumla wake ktk makuzi yamenipa umakini dhidi ya wamiliki wa hiyo kitu...
Pole sana Mkuu, ila ukianguka unasimama nakuendelea na safari
 
Back
Top Bottom