Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

venchwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
1,677
1,592
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa, baada ya kutafta maisha kwa muda mrefu Tanzania yakagoma nikaamua kujikusanya nikauza kieneo nikasafiri kuja zangu nchini Singapore, nikafika huku nikabahatika hakuna visa kwa watanzania ila unalipa dollars 25 tu wakati wa kuingia airport.

Nilivyofika nilidhan kupata kazi ni jambo rahisi kumbe hakuna sasa nikaamua kusaka kwa nguvu zote.

Mpaka muda wa kukaa hapa ukaisha bed space niliyolipia ikaisha nikamwambia aliyenipa bed space akanielewa akaniongezea wiki ya offer.

Nikaamka asubuhi kusaka vibarua nikakosa, katika kurudi nikakutana na kijana mmoja , nikamuelezea kuwa natoka Tanzania akasema kuna watanzania wenzako pia wako mji huu ngoja nikupeleka Electra street nikafika nikakuta si watanzania bali ni wakenya, nikaeleza wakasema ok kuna kijana mmoja mtanzania anaitwa (jina limeifadhiwa kwa usalama wangu), wakanipeleka mitaa ya Honda, nikamuona, anatokea bukoba akasema ooh nimefurahi kukujua.

Tukatambulishana nikarudi kwangu, siku saba zikaisha

Kule napokaa bed space yangu ikaisha sasa nikampigia huyo mtanzania akanambia njoo tubanane hapa kwetu , nikaenda nikakuta anaishi na mama yake, ila mama yake mbali na kumzaa huyu kijana Tanzania, baadae aliolewa na mzungu wakaenda Denmark na muda huu wamehamia hapa Singapore, wamepata mtoto wa kike mmoja ana miaka kadhaa, mdogo , na wanaish naye pia pale na kijana mtanzania (ambaye sitataja jina) pia

Mama huyu alimzaa kijana nisiyemtaja jina akiwa form two, na akamuacha kwao akaendelea na shule, kwa umri mama huyu ana miaka kadhaa, na kijana hawapishani miaka mingi, kama 16 hivi.

Sasa kimbembe Siku za kukaa kwenye nchi ya Singapore free zikaisha nikaingia kwenye OVERSTAY FINES dolla 100 kila siku unayozidisha, yule mama na Mme wake wakasema usiwe na shaka tutakulipia, wakalipa.

Mama akamwambia yule kijana kuwa aniandalie chumba changu nami niwe free maana si vyema vijana wa rika ili kuwa chumba kimoja, nikashukuru sana.

Asubuhi mama akamuaga baba na familia kuwa ananipeleka sehem ya kazi, nikapanda gari lake tukafike kwenye shirika moja LA ndege, Singapore airline akasema mi Mdogo wake wanipe kazi, wakauliza elimu yangu nkawaambia degree ya accounting, wakasema utakuwa customer servise endapo managers watakubali kuongeza mtu maana qualifications zangu zinatosha,

Mama akafurahi tukawa njian tunarudi akanambia kuwa tupitie sehem tupate kinywaji, nkasema sawa, tukaingia ROTANA hotels , sehem ya wazi akaanza kuniuliza maswali mbalimbali nikamjibu, lakin akagusia hata mimi kama nina Mke nyumbani, nikamwambia sijaoa ila nilikuwa busy kwanza natafta maisha, akasema sasa kama ukiyapata maisha vema utaoa? Nkamwambia lazima ila bado.

Akanipa dolla 1000, pocket money, akasema nisimwambie mtoto wake wala baba nkasema sawa, lakin nkaanza kuhisi kitu, Mara tukiongea ananigusa begani Mara aniangalie machoni kwa kulegeza ya kwake ,

Sasa usiku nimelala nikashangaa anakuja chumbani kwangu maana mzee wake anafanya kazi usiku daktari. Nkajiuliza anataka nini, anakaja akakaa kitandani kwangu, nikaamka akanambia nisiogope kwani hana tatizo amejihisi mpweke kaja kwangu maana Mme wake atarudi asubuhi, nimetetemeka sana nimeogopa, Mara akanambia kuwa nisogee kidogo akae vizuri kitandani nikafanya hivyo , akalala kabisa kwakweli, akapitisha mkono kwenye kaptula yangu akanishika. Nimamwambia sory , akasema " acha ushamba hutaki kula na kipofu?" Nkamwambia naumwa kichwa akabembeleza wee nikagoma, asubuhi nilikuwa na aibu nikazuga naumwa kweli nkalala siku ipite.

Kesho yake pia akaja akiwa yuko na khanga tu, akanilalia mgobgoni bila ruhusa yangu jaman, nikaduwaa akanifungua shati akanigeuza yaan shetani huyu hatari, akanivua bukta yangu, ikabidi nimkubalie japo sikuwa na mudi wa kuyafanya.
mpaka sasa sijielewi nifanye nini. Nikimkatalia ananifukuza. Nikimkubalia siyo maadili kusema kweli na najiuliza vipi kijana akijua natembea na mama yake, na vipi yule mzee si atanipiga risasi kabisa.

Naombeni ushauri wenu jaman jaman , maana ningekuwa nshakamilisha masuala ya Kazi ningeondoka lakin ndo yapo katikati , sina pa kwenda, na working permit ndo anaifuafilia sasa ninechanganyikiwa,

YAAN WANAWAKE SIJUI WALILOGWA NA NAN HIVI ANATAKA NINI KWANGU, SHETAN

*********************************

UPDATES PLEASE GOOD NEWS

Mungu mkubwa nimepata kazi na nimefanikiwa kila kitu

Ninashukuruni kwa maombi nimepata kazi japo kwa kupitia Yale masharti yetu magumu,
 
Mkuu, fuata huu ushauri niliwahi kufanya hivyo nilipokuwa naishi kwa Mtu Mozambique.

Kwa sababu upo kwenye wakati mgumu wa kutafuta maisha huna namna nyingine, tumia sentesi yake ya KULA NA KIPOFU. Lakini kuwa makini sana. Nasisitiza kuwa makini sana. Sababu mimi niliwahi kufanya hivyo, lakini nilishitukiwa, ila nashukuru sana MUNGU niliwahi kutoroka wakati nishafanikisha malengo yangu. Nasisitiza kuwa makini sana.
 
Mkuu, fuata huu ushauri niliwahi kufanya hivyo nilipokuwa naishi kwa Mtu Mozambique.

Kwa sababu upo kwenye wakati mgumu wa kutafuta maisha huna namna nyingine, tumia sentesi yake ya KULA NA KIPOFU. Lakini kuwa makini sana. Nasisitiza kuwa makini sana. Sababu mimi niliwahi kufanya hivyo, lakini nilishitukiwa, ila nashukuru sana MUNGU niliwahi kutoroka wakati nishafanikisha malengo yangu. Nasisitiza kuwa makini sana.
Ok kaka sasa mi sinitahatarisha maisha yangu? Wakijua
 
Mkuu, fuata huu ushauri niliwahi kufanya hivyo nilipokuwa naishi kwa Mtu Mozambique.

Kwa sababu upo kwenye wakati mgumu wa kutafuta maisha huna namna nyingine, tumia sentesi yake ya KULA NA KIPOFU. Lakini kuwa makini sana. Nasisitiza kuwa makini sana. Sababu mimi niliwahi kufanya hivyo, lakini nilishitukiwa, ila nashukuru sana MUNGU niliwahi kutoroka wakati nishafanikisha malengo yangu. Nasisitiza kuwa makini sana.
Sawa kaka mauza uza ni mengi hapa mpaka mengine sijayaweka kwenye maelezo mtu anakulazimisha vitendo ambavyo hujawahi Fanya , hakika masikini hawana mbinu
 
Duuh pole cha msingi we kuwa nae tu ili yako yakunyokee ila kuwa makin peter na baba ake wasijue mzungu atakuua upo nchini kwake
Ilo ndilo naogopa kaka maana yule mzungu ananipenda na ananichukulia kama mwanae ananipa maelekezo mengi ila wanawake mashetan
 
Back
Top Bottom