Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

Pole sana, huyo mama alaaniwe kwa kweli, lakini Tanzania si kubaya hivyo jamani, kwanini mnaadhirika ugenini namna hiyo?
Rafiki yangu tunakuwa hatujuhi na pia ningekuwa nimejipanga vya kutosha mbona nisingeenda kwake, sikuwa na hela ya kutosha maana nilipata dolla 1400 nauli na hela ya bed space dolla 800 mwezi mzima
 
Wewe kula na kipofu tu hila mzuie asiingie chumban kwako funga cku mwanae anaweza wafuma kama kumla kamlie mbali huko msizoee hapo home noma
Jaman niko njia panda
 
Piga ila uwe makini sana joh! akikushtukizia jamaa na mme wake utapigwa shaba ya kichwa!

Hivi huku Tanzania wageni wanakuwa na limit ya kuishi Tanzania? Kuna wazungu na wachina kibao wanaishi free huku Tanzania kama vile wapo kwao
 
Tanzania ni shamba la bibi, hata ukiwasemea pale immigration, oficer akipewa 200 US$ yanamalizwa. Unabaki wewe na umbea wako.
 
Piga ila uwe makini sana joh! akikushtukizia jamaa na mme wake utapigwa shaba ya kichwa!

Hivi huku Tanzania wageni wanakuwa na limit ya kuishi Tanzania? Kuna wazungu na wachina kibao wanaishi free huku Tanzania kama vile wapo kwao
Kwan juz hujamckia makonda kasema et mtu kutoka mwanza uje dar uje kwa shughuli maalum na sio kukaa tu...yan mzee wa matamko yasio na kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom