Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

At least umecapture hadhira.
Hiki ni kipaji kiendeleze!!
 
Ushauri wangu marinda ya huyo main character hayapo secured hata kwa bure
 
Kumbe mpaka aingapore kazi mnapeana tu kwa kujuana.....hawahitaji hata permit
 
Kumbe mpaka aingapore kazi mnapeana tu kwa kujuana.....hawahitaji hata permit
Permit muhimu wewe Jana nimeenda medical examination, kwa ajili ya kupeleka vipimo labor nipewe working permit
 
acha waisome nambaaaaaaaa.............singapore mbele kwa mbeleeee

pole sana...
kula mzigo hakuna namna...
ndo matatizo ya kuishi ugenini..
mechi za ugenini ngumu
 
Vumilia Tu yataisha, ila hiyo mambo fanyieni kwa hoteli hapo itakuwa balaa
 
Back
Top Bottom