Tecno c8 update

Mm nimefollow procedure ila nimeshndwa kuelewa mwshon baada ya kureboot cm na kuwaka na lazma uirestart au??
 
Cjafanikiwa it means haijabadilika sasa apo ndo nimejiulza et au kwa 7bu sijarestart
 
Cjafanikiwa it means haijabadilika sasa apo ndo nimejiulza et au kwa 7bu sijarestart
Naomba unijibu hili swali mkuu, hilo file lenye mb 867.77 unalo kwenye simu.
Umeshali dawnload?
 
Mimi ninahitaji screen ya f7 original. Nitaipataje?
Mkuu hilo lipo nje ya uwezo wangu. Kama upo dar nenda kwenye ofisi zao utapa msaada zaidi.
Ofisi zao zipo Jumbo katika jengo la NHC, Posta mtaa wa Samora na Phone 1 Mlimani city.
 
Duuh ya kwangu imezima kabisa, baadae nilipojitahidi kuwasha inaonesha maandishi ya kichina
 
Duuh ya kwangu imezima kabisa, baadae nilipojitahidi kuwasha inaonesha maandishi ya kichina
Sawa mkuu kama imezima tumia volume up na power batan ikiandika no comand. Badilisha utaratibu anza kubana power batan kisha volume up yatakuja maandishi ya blue. Nenda hadi update from sd card cahgua lile file ulilo dawnload utaliona tu kwasababu unashauriwa usilielweke ndani ya folder yoyote kwenye memory. Ukilichagua subiri hadi imalize ku upgrade.
Lkn hakikisha una hilo file likiwa kamili 867.77mb au 868 mb
 
SD Card ndio memory card?
Hilo file la update ukili dawnload lihamishe kwenye memory card lakini liwe nje ya folder za memory usiliweka ndani ya folder lolote lile kisha fuata hizo hatua.
 
Hilo file la update ukili dawnload lihamishe kwenye memory card lakini liwe nje ya folder za memory usiliweka ndani ya folder lolote lile kisha fuata hizo hatua.
Nikifuata hizi hatua kwenye Tecno C5 na sio C8 nitapata madhara yoyote
 
Mkuu hiyo ni update ya tecno C8 na sio ya tecno C5 tatizo lolote hapo litakuwa nje ya uzi huu.
Ni sawa na kufunga spea za gari kwenye pikipiki.
 
Back
Top Bottom