Je unataka ku update Tecno Camon C8 yako?

Eric Mkomoya

Member
Oct 10, 2014
55
56
Kama unatumia TECNO CAMON C8 na unataka ku-update simu yako kuanza kutumia MARSHMALLOW (android 6.0) , usiachwe nyuma hatua ni rahisi za kufanya ili simu yako iwe na android ya kijanja zaidi kwa sasa,

image_1186.png

Kuna njia mbili za ku-update TECNO CAMON C8 , njia ya SD Card na njia ya flashtool usipate shida na flashtool, fuata hatua zifuatazo rahisi kwa njia ya SD Card, ingia katika uwanda maalumu wa TECNO Tanzania ambako utapata maelekezo yote,....... [OFFICIAL VERSION] ANDROID MARSHMALLOW SASA INAPATIKANA RASMI NDANI YA TECNO CAMON C8 -TECNO MOBILE COMMUNITY OFFICIAL FORUM8
 
mkuu kwani hili tangazao i thought natoa infor kwa member amabo hawana knwldge ya kuupdate zao hapo...siuz hata kitu wala hiyo blog sio yangu ya tecno...... i just give out the experience i got from my tecno updation to users wenzangu...o iz tht wrong?
 
View attachment 344946

Vipi ikiwa simu yangu iko rooted
 
Huo mfumo ni mzuri lkn una bugs za kufa mtu, wewe kama una lollipop tulia huko huko kwanza jamaa watoe final update ya huo mfumo kwenye C8,maana hata wao wameliona hilo wakatoa update jinsi ya kurudi kwenye lollipop. Na kama una huo mfumo hakikisha hiyo update uliyo dawnload ikikamilika inakuwa na 867.94 MB.Kama umepata chini ya hapo chunguza vizuri simu yako ipo sehemu itakuwa na shida.
 
Nili-root tecno C8 yangu, cha ajabu after sometime rooting inatoka, na-root tena baada ya muda tena inatoka.... Halafu kwenye game (karibu game zote) katikati ya mchezo game linakata
 
Hilo la kucheza game halafu inakata ni tatizo la simu yenyewe.
Kuhusu ku ROOT umetumia App gani ku ROOT?
 
Nimetumia Kingroot

Hiyo ya game kukata kuna jamaa zangu kama wawili hivi nao wana C8, they do experience the same problem
 
Hilo lipo karibia simu zote za C8.
Ila hapo kwenye root hebu fungua hiyo kingroot kisha, nenda setting na u un root. Halafu dawnload root checker, hakikisha haina root halafu i root tena. Na please huwa nini kinatokea kukuonesha root huwa ina toka mkuu?
 
mkuu kwani hili tangazao i thought natoa infor kwa member amabo hawana knwldge ya kuupdate zao hapo...siuz hata kitu wala hiyo blog sio yangu ya tecno...... i just give out the experience i got from my tecno updation to users wenzangu...o iz tht wrong?
Nina Mashaka Na Hili Neno Updation
 
Ku upgrade c8 ni rahisi ila changamoto mtakayokutana nayo ni kwamba standby time inapungua sana,kama ulikuwa unakaa siku mbili bila kuchaji basi wewe kila siku utaanza kuichaji
 
Nili-root tecno C8 yangu, cha ajabu after sometime rooting inatoka, na-root tena baada ya muda tena inatoka.... Halafu kwenye game (karibu game zote) katikati ya mchezo game linakata
Yaan kama yangu kabisa hilo hilo tatzo, sema nililitoa mpaka Sasa iko poa sema tu hzo updates zao hizo ndo sijazikamilisha
 
Hilo lipo karibia simu zote za C8.
Ila hapo kwenye root hebu fungua hiyo kingroot kisha, nenda setting na u un root. Halafu dawnload root checker, hakikisha haina root halafu i root tena. Na please huwa nini kinatokea kukuonesha root huwa ina toka mkuu?
Nikijaribu kui-run inakuwa kama vile ndio na-install kwa Mara ya kwanza, na nikienda root checker wanasema simu yangu haiko properly rooted... Inanilazimu ku-root tena then niki-run ndio inakubali. Nikija kucheki after few hours nakuta tena root imetoka
 
Back
Top Bottom