Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari zenu wana jf mm ni mgeni humu ndani naombeni ushirikiano wenu
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Hamjambo wana Jamiiforums, nimejiunga nanyi ni Member mpya hodi humu ndani
3 Reactions
11 Replies
1K Views
ni mimi pancho baby boy naomba kukaribishwa.... mchizi kichizi
0 Reactions
9 Replies
972 Views
Kama mnavyoniona niko ndani ya nyumba. Nikaribisheni kiti tu maana nina hamu ya kujua yanayoendelea humu. Nimekuwa nikiwasoma tu kwa juu juu nikagundua kuna mengi humu tena ya kutosha...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi no mprnzi sana wa jf wa siku nyingi ila Leo nimeamua kujitambulisha
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Najua wote mko poa wakuu, Naomba mnieleweshe utofauti kati kuitwa Malaya na kuitwa kahaba! Nawasilisha!
2 Reactions
18 Replies
17K Views
I'm so happy to join you member of this land of the clever! Hope to learn a lot from you guys!
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Natumaini mpo poa.Mimi hapa ni mgeni humu nimevutiwa kuingia humu baadaya ya kuwa msomaji wa mambo mbalimbali humu muda mrefu nikiwa kama guest naomba mnipokee.
1 Reactions
10 Replies
943 Views
Wazima wote humu, nawapenda
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mie mgeni humu ndani...
1 Reactions
4 Replies
829 Views
Wakuu naomba nieleweshwe inakuaje kuaje mpaka mtu anakuwa Jf-expect member, yan stage anazopitia na naomba nieleweshwe vyeo vyote vya members humu kwa mtiririko sahihi, Shukran
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kazi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi naitafuta familia ya mwalimu wangu aliyekua akiitwa Peter mbeu magesa alifariki mwaka 2008 akiwa ni mwalimu shule moja huku babati manyara ,na kwenda kuzikwa kwao kusoma vijijini. Na baada ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Asalaam wakuu. Nimekuwa mfuatiliaji wa mda mrefu kidogo kwenye majukwaa mbalimbali yaliyomo humu jamvini. Nimefurahishwa sana na jinsi watu wanavyo wasilisha mada mbalimbali na uwezo wao mkubwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za muda huu mabibi na mabwana. Leo rasmi nimefanya uamuzi. Naomba munipokee.
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Hello! My name is Gidabaro Gidale from Mbulu. A teacher by profession. Thanks
1 Reactions
7 Replies
727 Views
Ndugu watanzania wenzangu nawaombeni sapoti yenu yangu kwenye nyimbo yangu mpya .kuitazama vizuri ingia you tube kwenye channel yangu natumia majina (darkhan media )
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wakuu wote, Baada ya kuwa mfuatiliaji wa muda mrefu nimeona ni vema nikaungana nanyi wanajamii,hivyo naombeni mnipokee kama mgeni wenu humu ndani, Shukrani sana kwa wote. Wasalaam.
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba mnipokee Mimi mgeni
1 Reactions
5 Replies
939 Views
Ninafuraha sana ndugu wana bodi kujiunga leo na jukwaa hilo.naombeni ushirikiano wenu akina mshana,demiss.shukrani zimwendee MTU mmoja nisiyefamiana kwa kunisaidia sana nimemsumbua usiku kwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom